Makamba Hakumtendea haki Nauye

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,143
18,769
Nimekuwa nikitafakari kauli ya Makamba kwamba Nape kugeuza chama hicho kama taasisi yake binafsi na hii ndiyo imesababisha kikose mwelekeo.

Nimeshindwa kumwelewa Makamba; katika CCM nafasi ya Nape si ya kutoa mwelekeo, "strategic direction". Sana sana Nape ni msemaji au mhamasishaji wa yale yanayoamuliwa katika Chama. Sasa iweje Nape ageuze CCM kama taasisi yake? Kama Chama kimekosa mwelekeo, hilo linakuwaje ni tatizo la Nape na sio la Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa Chama wanaotakiwa kukipa Chama mwelekeo?

Mie nadhani katika lawama zote zinazotolewa juu ya uongozi wa CCM nk, watu kama kina Makamba na Lowasa wanashindwa kutamka kwamba Mwenyekiti na Katibu wa Chama ndio tatizo la uongozi, na wanaishia kumungunya maneno.
 
Makamba anajifanya hajui kwamba:

CCM ilianza kumfia mikononi mwake

Alianzisha royal families ndani ya CCM

Aliyazima na kuyatupilia mbali mapendekezo ya kamati ya Mwinyi ya kutaka kuwawajibisha mafisadi

Ingawa nyani haoni makalio yake wanaomzunguka wanajuwa fika kwamba hajavaa.
 
Yussufu Makamba ni CCM dead wood.
Alikumbatia mafisadi kina Manji hadi alikuwa anawapigia magoti hadharani.
Wengine walimjengea nyumba Morogoro, mwache Nape afanyekazi bana.
 
Nimekuwa nikitafakari kauli ya Makamba kwamba Nape kugeuza chama hicho kama taasisi yake binafsi na hii ndiyo imesababisha kikose mwelekeo.

Nimeshindwa kumwelewa Makamba; katika CCM nafasi ya Nape si ya kutoa mwelekeo, "strategic direction". Sana sana Nape ni msemaji au mhamasishaji wa yale yanayoamuliwa katika Chama. Sasa iweje Nape ageuze CCM kama taasisi yake? Kama Chama kimekosa mwelekeo, hilo linakuwaje ni tatizo la Nape na sio la Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa Chama wanaotakiwa kukipa Chama mwelekeo?

Mie nadhani katika lawama zote zinazotolewa juu ya uongozi wa CCM nk, watu kama kina Makamba na Lowasa wanashindwa kutamka kwamba Mwenyekiti na Katibu wa Chama ndio tatizo la uongozi, na wanaishia kumungunya maneno.

CCM inaongea kupitia nape,it means wanaomtuma aongee nae anaongea,na makamba amewajibu hao au amewapasha wanaomtuma Nape kwa kupitia nape
 
Jamani Makamba "Sr" ni mropokaji tangu zamani. Mara nyinginanatumia tumbo kufikiri kama alivyosema Mzee Six
 
Nape alifanya kosa kubwa sana hasa aliposema kuwa sekretariati iliyokuwa inaongozwa na Makamba Sr kuwa walikuwa ni magamba
 
Nimekuwa
nikitafakari kauli ya Makamba kwamba Nape kugeuza chama hicho kama
taasisi yake binafsi na hii ndiyo imesababisha kikose mwelekeo.

Nimeshindwa kumwelewa Makamba; katika CCM nafasi
ya Nape si ya kutoa mwelekeo, "strategic direction". Sana sana Nape ni
msemaji au mhamasishaji wa yale yanayoamuliwa katika Chama. Sasa iweje
Nape ageuze CCM kama taasisi yake? Kama Chama kimekosa mwelekeo, hilo
linakuwaje ni tatizo la Nape na sio la Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa
Chama wanaotakiwa kukipa Chama mwelekeo?

Mie nadhani katika lawama zote zinazotolewa juu ya
uongozi wa CCM nk, watu kama kina Makamba na Lowasa wanashindwa kutamka
kwamba Mwenyekiti na Katibu wa Chama ndio tatizo la uongozi, na
wanaishia kumungunya maneno.

acha magamba yaweweseke hivi kweli makamba ni mtu wa kushauri kitu mtu mwenye akili akamsikiliza?
 
Teh teh teh, Huyu mzee labda bado anaota kuja kurudi tena kuwa katibu mkuu wa chama!! Embu tuendelee shuhuudia game hadi miwishoni, teh teh teh
 
acha magamba yaweweseke hivi kweli makamba ni mtu wa kushauri kitu mtu mwenye akili akamsikiliza?

naaam,amemshauri mwanae akwende BUMBULI,,,,MATOKEO SI MMEYAONA????NA LEO NI NAIBU WADHIRI,,,,THATHA BADO NINI TENA
 
Kweli sioni kama tatizo liko kwa Nape kwani Makamba ameshindwa kuwazodoa wakubwa hivyo kama kweli ndivyo alivyotamka basi hakumtendea haki Nape kwani wenyeshida ndani ya chama chake hata wasio wanachama wanawajua.
 
Nimekuwa nikitafakari kauli ya Makamba kwamba Nape kugeuza chama hicho kama taasisi yake binafsi na hii ndiyo imesababisha kikose mwelekeo.

Nimeshindwa kumwelewa Makamba; katika CCM nafasi ya Nape si ya kutoa mwelekeo, "strategic direction". Sana sana Nape ni msemaji au mhamasishaji wa yale yanayoamuliwa katika Chama. Sasa iweje Nape ageuze CCM kama taasisi yake? Kama Chama kimekosa mwelekeo, hilo linakuwaje ni tatizo la Nape na sio la Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa Chama wanaotakiwa kukipa Chama mwelekeo?

Mie nadhani katika lawama zote zinazotolewa juu ya uongozi wa CCM nk, watu kama kina Makamba na Lowasa wanashindwa kutamka kwamba Mwenyekiti na Katibu wa Chama ndio tatizo la uongozi, na wanaishia kumungunya maneno.

matatizo yetoe yanayokikumba chama cha mapinduzi sasa hivi ni kutokana na makosa aliyoyafanya mzee makamba ktk kipindi cha uongozi wake

makundi yote yaonekanayo sasa,yametokana na huyo aitwaye makamba na hii ilitokana na kuwachagulia wanaccm viongozi ktk kipindi cha kura za maoni

kwa hiyo asimlaumu nape ajilaume yeye mwenyewe
 
Back
Top Bottom