Makamba, chiligati & mkuchika: Ni kweli kuwa ndio gamba la ccm??

Mark Francis

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
605
310
Tumeshuhudia viongozi CCM na magazeti mengi yakitangaza kuwa CCM imejivua gamba kwa kuvunja sekretarieti ya CCM iliyokuwa chini ya Makamba, Chiligati, Mkuchika na wengine ambao sijawataja. Je, ni kweli kuwa viongozi hao wa chama ndio waliokuwa gamba ambalo CCM imetangaza kujivua?? Na je, huo ndio utakua mwisho wa kuchukiwa kwa CCM??
 
upinzani ulishawaambia kuwa hao jamaa na wengine akina lowasa, rostam ni adui kwa taifa na ccm kwa ujumla hamkukubali. Mmegundua hilo kutoka juzi dodoma!! Kwa nini ccm isifanye maandamano ya kupongeza cdm. Maana cdm inaona mbali kuliko ccm.
Sasa kwa kuwasaidia tu tafadhali fukuaza akinana rostam, lowasa na kikwete mwenyewe etc na wapeleke lupango, hapo ndo itakuwa mmejivua gamba nyie c
cm
upinzani oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nafikiri hata mwenyekiti anapaswa kujivua maana haya mambo hayakuanza kama uyoga ghafla yalikua yanapanda taratibu na yeye kama msemaji mkuu wa mwisho alishindwa kulirekebisha hilo.
 
Ndio ni kweli, Ila si kweli kwamba ndio gamba pekee, yaani CCM wamevua gamba nusu mwili sasa wanatakiwa waendelee kuvua sehemu zilizobaki
 
Back
Top Bottom