Makamba atoa zawadi ya Nguruwe

Status
Not open for further replies.
13693_whole_roasted_suckling_pig_600.jpg


Nguruwe wa kuokwa sasa wataanza kupatikana Dar kuanzia December. Nadhani kiongozi bora wa kualikwa siku ya ufunguzi atakuwa ni Bw.Makamba

Duh! Itabidi nije home kula Xmas!
 
13693_whole_roasted_suckling_pig_600.jpg


Nguruwe wa kuokwa sasa wataanza kupatikana Dar kuanzia December. Nadhani kiongozi bora wa kualikwa siku ya ufunguzi atakuwa ni Bw.Makamba

Duu hii ndafu ya kitimito umeipata wapi, Inafaa sana kwa harusi.
Duuu inatamanisha sana, hii
 
Nasikia Mwinyi alisema "Imeandikwa MSILE, ila mwaweza kufuga".

Tulipokuwa Mazengo Secondary, tulikuwa na NGURUWE wa mwezi wa kwanza (form 1) na wa mwezi wa saba (form 5). Na kisa hasa ni kuwa kweli tulikuwa na nguruwe na Mbuzi wajinga sana. Watu walisoma na wakamaliza. Siku ya kuuwa nguruwe, jamaa walienda mbali na mabweni na huko wanamuuwa na kupikia au kuchoma nyama mishkaki. Wakirudi wanatoa tu nyama kwenye meno.......
hueleweki!
 
Makamba, anaakili sana.

Wanafunzi wale Nguruwe ili wanenepe, kosa lipo wapi wajameni?
 
Makamba kapatia sana, mi ni mwislam lakini hii kitu nasindilia
 
Waislamu siku zote tumelalamika kuhusu kuzagaa kwa nguruwe na mabucha ya nyama ya nguruwe bila mafanikio said:
Hivi katika uislamu dhambi ni kula, kumwona nguruwe akitembea, akifugwa, au kuiona nyama yake ikiwa buchani lakini wewe ukajipitia bila hata ya kuitamani? Swali jingine ni; hivi Nguruwe hakuumbwa na Mungu kama wanyama wengine na kwamba hatakiwi kuwepo kabisa duniani? Na kama asingekuwepo kile kishawishi cha umle/usimle kingetoka wapi? Na mwisho nataka kuwauliza "Wataalamu" wa dini hiyo kama kula nguruwe ndiyo dhambi kubwa pekee duniani. Maana naona kwenye ulabu tunapigana nao vikumbo na uzinzi na uasherati ndiyo usipime, je huu si unafiki?
 
Nauliza mwislam akila nguruwe anaenda kuzimu kwa shetani au?? basi mungu wao ni noumer yaani pork anakupeleka motoni na kujili pua ??!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom