Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,544
- 19,402
Sasa basi alipokuwa akipinga kuwa hafanyi vikao vya kuwania jimbo lile hakuwa mkweli au ndiyo siasa zenyewe za bongo. Nadhani kuwa Tanzania hatuna utaratibu wa kuwa na exploratory committees za kuwania viti vya kisasa; na hata kama zipo huwa zinatakiwa zitangazwe hadharani badala ya kufanyika kimya kimya.
Ndiyo maana nakubaliana na falsafa ya mwanafalsafa hapo juu.
Ndiyo maana nakubaliana na falsafa ya mwanafalsafa hapo juu.