Makamba atakuwa nani??

Atarudishwa kwenye ukuu wa mkoa si unaona kuna gaps ambazo zipo kwenye RCs hazijajazwa eg DSM

Makamba na Kikwete wana siri moja kubwa sana ambayo mimi na wewe hatuijui wala hatutakujakuijua; hivyo basi Jakaya hawezi kumuacha mgosi barabarani atamrudishia ukuu wake wa mkoa!! Sintaona ajabu kwa Kikwete kufanya hivyo!
 
mi nadhani atakuwa mwimba taarabu wa chama maana anafaa sana kutumbuiza
 
Atapewa ubunge, kwani JK kabakiza nafasi 7 za uteuzi; halafu atakuwa mshauri wa Rais kuhusu mahusiano na taasisi za kidini
 
Apewe ubunge wa kuteuliwa si bado kuna nafasi.
alikuwa karibu na mafisadi na ukiangalia kiasi cha fedha kilichopatikana kupitia 'ulinzi' wake ni kikubwa. Akiwekewa bill ya kama 15m kwa mwezi kutoka sehemu ya capacity charges bado ataendelea kuwa matawi ya juu!
 
Itapendeza kama wakimpeleka Libya au Sudan ya kusini kuwa balozi wetu. Au apelekwe VODACOM kuwa msemaji mkuu wa kampuni. Did I say Vodacom?
 
Mbona hiyo rahisi! Anaungana na Kingunge kuroga wana ccm wenye uchungu na Taifa kama walivyomfanya Kolimba,Amina Chifupa nk.AKINA SITTA MKAE CHONJO. Kifupi anaingia benchi la ufundi la chama cha majambazi.
 
Back
Top Bottom