MAKAMBA amtimua KAZI mwanadada karani CCM makao makuu kisa JAMII FORUM

Hii naamini ni kweli...Waajiri wengi hawapendi JF, maana wanajijua wenyewe na madudu yao!...
Cha kufanya kwasasa ni kumsaidia huyu dada apate kazi pahala pengine, ila awe makini na kutoa nyeti zaidi za MAKAMBA maana wanaweza kumfauatilia asipokuwa makini!...kama vp anaweza kumpelekea mtu yeyote hewani!...huh!
 
Si angefungua ID Nyingine tu, Yusuf Computer anajulia wapi. Tena kampta siku tatu. Angefungua email nyingine na ID nyin gine halafu akampa
 
Hii naamini ni kweli...Waajiri wengi hawapendi JF, maana wanajijua wenyewe na madudu yao!...
Cha kufanya kwasasa ni kumsaidia huyu dada apate kazi pahala pengine, ila awe makini na kutoa nyeti zaidi za MAKAMBA maana wanaweza kumfauatilia asipokuwa makini!...kama vp anaweza kumpelekea mtu yeyote hewani!...huh!

I don't think you become Katibu Mkuu wa CCM and worry about what Jamii Forumers says about u. It doesn't make sense.

But what do I know? I am a Makamba apologetic, which in lens of many of you, I am a clueless ship. Or You should rather say--nimetumwa na mafisadi. But we all know where the arc of stupidity is bending towards.
 
Tehe tehe....hapo sina usemi mimi. Umesearch wasukuma ni wezi lkn matokeo unapata wachagga ni wezi. Du, kweli wachagga wapo juu!:clap2:

I tried the same search but never come this result!
I gues he had searched WACHAGA NI WEZI some days before, AMA?
 
ina maana makamba anafikiri madudu anayoyafanya watu watakuwa wanamsifia tu kwani yeye kawa Papa!:msela: :car:
 
pole dada Fatuma!
itakuwa ulikuwa na wasiwasi ukasahau hata ID ambazo makamba angezifurahia na ingewezekana angekupandisha cheo.......ungema za Malaria Sugu, Dadakuona,Kakakuona,Jeykey wa ukweli......hao wote ni ma pro-CCM. Alichokuwaanataka makamba ni wewe umdanganye tu.
 
Sometimes nakereka tunapopinga mambo ambayo hayana msingi, mwenzetu ndo huyo kafukuzwa kazi, au hujui kua kuna watu wanajifanya miungu watu kiasi cha kuweza kukufukuzisha kazi anytime? hebu tumsaidieni kimwazo, mimi binafsi sijawahi kupuuzia taarifa zozote za JF hata kama zingepingwa vipi hua hatimae zinakua na ukweli, mifano mnayo wenyewe, memba mmoja alisema wanavamiwa na majambazi kigoma akawa anaomba msaada JF, watu wakaponda wee, hatimae kumbe ilikua kweli baada ya kumtukana na kujibu isivyostahili!
 
Huyo mdada wa kwamakamba sidhani kama sababu ya kufukuzwa kwake ilikuwa eti ni member wa JF. Nadhani Makamba alikuwa na kisasi nae long time na alikuwa akitafuta sababu za kumtoa hapo ofsn asipate hadi alipomkuta akichangia JF.
 
Sometimes nakereka tunapopinga mambo ambayo hayana msingi, mwenzetu ndo huyo kafukuzwa kazi, au hujui kua kuna watu wanajifanya miungu watu kiasi cha kuweza kukufukuzisha kazi anytime? hebu tumsaidieni kimwazo, mimi binafsi sijawahi kupuuzia taarifa zozote za JF hata kama zingepingwa vipi hua hatimae zinakua na ukweli, mifano mnayo wenyewe, memba mmoja alisema wanavamiwa na majambazi kigoma akawa anaomba msaada JF, watu wakaponda wee, hatimae kumbe ilikua kweli baada ya kumtukana na kujibu isivyostahili!
 
Kwa mtu muelewa hawezi ku-ignore power ilioko ndani ya social forums hasa hapa nyumbani JF, ukweli ni kwamba hata baadhi ya magazeti hua source au misingi ya habari zao ni JF, anaekataa akatae tu, so Makamba ni lazima awe furious na msizidi kumu-underate to such extent kwamba haijui JF, LABDA nyie ndo msioijua, kumbukeni JF ilishafika hadi bungeni, juzi ilitajwa katika mjadala fulani kwa kutoa mchango positive sasa leo MAKAMBA asiijue JF, no you must be joking, Pole dadaetu na afadhali ulimnyima...
 
Kama hujui power ilioko kwenye social forums angalia Egypt, angalia yanayoendelea na whata are thier sources of information, na ni aina gani za info zinatumwa huko? haya, endeleeni kupuuzia tu!
 
ipo kazi
kama ni hivyo almost nusu ya civil servants wangefukuzwa!
si mbaya kuchungulia upande wa pili wanasema nini,haimaanishi ni kosa kuwa JF au kutoa mawazo tofauti. kwani JF ni political party?
na huenda dada hakuwa na mkataba wowote unaomlinda pale kazini ndo maana hajaweza kujitetea,i labda aliingia kwa ushabiki wa chama lakini baadaye akajua kuna mambo mazuri zaidi upande wa pili..
kwa mtu yeyote anaejitambua na anayependa kukosolewa sana sana angemuuliza wanasema nini huko?
labda kama hakuwa anafanya kazi anazotumwa na boss wake
 
Hivi ajira za ccm hazifuati sheria za kazi na taratibu za kawaida za ajira? How comes, simply mtu anamwambia mfanyakazi asikaribie eneo lake la kazi kirahisi hivyo?
 
Back
Top Bottom