MAKAMBA amtimua KAZI mwanadada karani CCM makao makuu kisa JAMII FORUM

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
9,284
7,142
Jumatano tarehe 19/1/2011 MAKAMBA aliingia ofisini yapata saa nne kasaro asubuhi.Fatuma Wenseslaus karani alikuwa bize akituma ujumbe kwenye komputa.Babu makamba kuchungulia akaona ilikuwa ni kwenye page ya jamii forum.
Makamba:unaandika nini?Fatuma:sio chochote huku akiifunga ile page kwa haraka.Makamba: fungua taja jina unalotumia hapo JF, Fatuma akagoma kwa sababu alishamponda bosi wake hapa JF.
Makamba akampa siku tatu yule dada ampe jina lake hapa Jf, niliwahi kuombwa na mtu anayefahamia fika na Fatuma nimpe jina langu au la memba nimjuaye nikashindwa manake memba wengi wameshamkwaruza makamba kwa hiyo jina langu lingemtapisha Makamba.Fatuma ameambiwa asizikaribie tena ofisi za makao makuu CCM
 
za mitaani yo! za mitaani yo! zamitaani yo!

source?
 
Pole sana dada yangu.

Ungejua ungemshauri azungumze na MoD ili a delete information zake nyeti. Uhuru una gharama lakini iko siku tutashinda.
 
nina uhakika na ninachokiandika labda uulize wapi unapotilia mashaka?
 
wewe si ungekuja hapa na kutuambia fasta tungempa jina lolote? au yeye kashindwaje kujitetea kuwa anaingia jf kama guest? usitudanganye hapa
 
kama unaingia kama guest unawezaje kutuma ujumbe?
 
wewe si ungekuja hapa na kutuambia fasta tungempa jina lolote? au yeye kashindwaje kujitetea kuwa anaingia jf kama guest? usitudanganye hapa

Yeye alikutwa ana post, Guest hana rights za kupost!! Makamba naye anajua internet jamani...........
 
sasa huyu dada mbona kama hana kosa?labda kuna sababu nyingine,kisha ishu JF ikafanywa kisingizio.fuatilia inawezekana siyo kweli.
 
pale makao makamba amekuwa akilalamika sana kuna wafanyakazi wanatumiwa na makada wa CCM kummaliza, wafanyakazi wana makada wao wanawapelekea taarifa kabla hazijakompailiwa. Makamba anawaogopa hao MAKADA kuliko hata anavyowahofia CDM.
Analaum pia namna siri zinavyozagaa mitaan huku akidai kitishwa mzigo wa mabaya yote ya CCM
note:makamba anajua hapa JF wengi wanamkwaruza kwa hiyo atamwaminije huyo karani wakati ni memba?
 
Nyie badala ya kumpa pole mpigania haki mnabaki kutishiana utaalam wa IT. Suala kama hilo ni la ndani ya Ofisi, aliyekupa taarifa ni jamaa wa karibu wa dada huyo. Sasa mtu kaachishwa kazi unataka source gani. Ndo maana mie huwa nashangaa watu tulionao hapa JF. Hakuna asiyeelewa kuwa viongozi wengi hapa chama tawala hawataki kusikia maovu wayatendayo. Ukiwasema wakakufahamu basi ujue watakuandama. Vilevile uelewa ulionao wa kusema uwasiliane na MODs si wa kila mtu. In short dada fatma pole. Wapigania haki hukutwa na mengi. Tafuta kazi kwingine utapata. Wako wanaopenda nchi hii na ndo maana hapa jf huwa tunapeana nyaraka muhimu hata usizotegemea na zinatoka ikwa wananchi hao hao. Sasa kaa nje ya Ofisi ya makamba na anika uozo wake vizuri. Mungu akusaidie. Kwa kutafuta kazi nyingine tembelea www.kazi999.blogspot.com .
 
Jumatano tarehe 19/1/2011 MAKAMBA aliingia ofisini yapata saa nne kasaro asubuhi.Fatuma Wenseslaus karani alikuwa bize akituma ujumbe kwenye komputa.Babu makamba kuchungulia akaona ilikuwa ni kwenye page ya jamii forum.
Makamba:unaandika nini?Fatuma:sio chochote huku akiifunga ile page kwa haraka.Makamba: fungua taja jina unalotumia hapo JF, Fatuma akagoma kwa sababu alishamponda bosi wake hapa JF.
Makamba akampa siku tatu yule dada ampe jina lake hapa Jf, niliwahi kuombwa na mtu anayefahamia fika na Fatuma nimpe jina langu au la memba nimjuaye nikashindwa manake memba wengi wameshamkwaruza makamba kwa hiyo jina langu lingemtapisha Makamba.Fatuma ameambiwa asizikaribie tena ofisi za makao makuu CCM
Next time ukitaka kutudanganya tuulize kwanza, unasema kampa siku tatu halafu rafiki yake kakuomba jina lako ya kweli hayo kwani kujiunga na kuanzisha ID nyingine ya uongo na kumpa Makamba inachukua siku ngapi.
 
ukijiunga inaonyesha lini umejiunga na jf,.hapo sasa makamba si atastuka kuwa amejiunga ndani ya siku tatu,..inawezekana makamba anaongea sana pumba lakini sio kilaza kiasi hicho...
 
nina uhakika na ninachokiandika labda uulize wapi unapotilia mashaka?

Source ina umuhimu wake,lakini huyu anayetoa maelezo haya anaweza akawa ndiyo fatuma mwenyewe,kwa hiyo hiki ni chanzo cha habari tosha kabisha.Labda kama unataka akuthibitishie kuwa yeye ndiye fatuma!!
 
Next time ukitaka kutudanganya tuulize kwanza, unasema kampa siku tatu halafu rafiki yake kakuomba jina lako ya kweli hayo kwani kujiunga na kuanzisha ID nyingine ya uongo na kumpa Makamba inachukua siku ngapi.
KWANI MAKAMBA HATAWEZA KISOMA join date ya huyo karani?
 
Back
Top Bottom