Makamba alionewa

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,023
2,553
Nimefuatilia kwa karibu sana uwezo wa secretariat mpya ya ccm ,nilichoigundua ni kwamba tofauti kati yao na iliyokuwa secretariet ya Makamba(Sr) ndogo ni sana.Tulitarajia hii secretariet mpya ije na mbinu mmbadala za kujaribu kuwaeleza watanzania mikakati gani ya muda mrefu na muda mfupi ya kupunguza kero zinazokabili watanzania wote kwa ujumla. Badala yake kazi hiyo bado anachiwa mwenyekiti wa Chama Mheshimiwa JK . Naammini kabisa hii timu mpya muda si mrefu wana CCM wataanza kumkumbuka Makamba (Sr) na timu yake
 
Makamba alionekana hafai kabisa lakini saizin anaonekana kuwa alikuwa na ahueni lakini ni mapema kumtolea hukumu huyu katibu mpya japo kuwa anaonekana kuwa na sauti ya radi (kutisha) akiongea sasa sijui itaendana na matendo hiyo sauti yake?
 
Back
Top Bottom