Makamba aitisha Public Hearing kubariki DOWANS

Habarindiyohiyo

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
263
13
Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati Makamba amefanikiwa kuwaziba mdomo wapinzani wa Dowans kwa kuitisha Public Hearing leo katika ukumbi wa Karimjee. Mkutano huo wamealikwa wananchi wanaothirika na umeme ambao wanataka mitambo hiyo iwashwe na Dowans walipwe kwa mkataba

habarindiyohiyo
 
Public hearing kwani huo ni muswada? Lakini acha afanye anavyotaka maana wao ndio wanaoendesha serikali wakati Muungwana anafurahia kinachoendelea. Hivi sasa Wenyeviti wa Kamati za Bunge wana mamlaka makubwa mno nadhani hata ya kufanya mazungumzo na wawekezaji na tusije kusikia wanaingia mikataba
 
Sasa amefanikiwaje kuwaziba hata mkutano wenyewe haujaisha usiandike ukiongozwa muhemuhe.
 
Nyie mnadhani huo uenyekiti wa kamati hiyo aliupata kama bahati...
 
Sasa amefanikiwaje kuwaziba hata mkutano wenyewe haujaisha usiandike ukiongozwa muhemuhe.

NAdhani hajafanikiwa, mtoa taarifa ndiye "amefanikiwa" kutuhabarisha, tupate taarifa zaidi kutoka eneo la tukio
 
Hakuna political will kwenye swala la umeme na jr makamba wala babake hawaja adhirika kwa ukosefu wa umeme!!!

Aendele kujitafutia umarufu kisiasa tu kwa gia ya dowans!
 
Hakuna political will kwenye swala la umeme na jr makamba wala babake hawaja adhirika kwa ukosefu wa umeme!!!

Aendele kujitafutia umarufu kisiasa tu kwa gia ya dowans!
Gia aliyoingia nayo ndiyo atakayotokea na kumpoteza.
 
Huu mfupa wa dowans umemshinda baba mtu pamoja na kuwa na umri na madaraka makubwa chamani ndio atauweza mwanae?
Msemo wa adui ajapo kwa njia moja atatawanywa kwa njia saba nahisi kama utatimia kwa Junuari siku sii nyingi.
.
 
Achana naye huyo hana lolote. Mwanzoni nilihisi kuwa ana akili nzuri hasa kufuatia ile barua aliyomwandikia Ngereja lakini kutokana na anayo yafanya sasa, ni dhahiri ni pandikizi tu anayetapatapa pengine kutafuta njia ya kurejesha fadhila za hao waliompandikiza. Kwa mtu yeyote mwenye akili anaona ni usanii mtupu kuchukua watu wachache ambao ni "hand picked" na huo ukaitwa mjadala wa kitaifa. Aidha mkataba wa Dowans ulisitishwa kufuatia uamuzi wa bunge zima; katika hali hiyo kamati ya bunge haina uwezo wa kubatilisha jombo hilo. Hivyo nashaurifedha za umma ambazo zimekuwa zinatumika kugharimia vikao vya kamati ya January visivyokuwa na tija ni matumizi mabaya ya fedha za umma hivyo wajumbe wa kamati hiyo watakiwe kuyarejesha.
 
Downs scendal seems not have meaningfull ending yet...!!

... am waiting for chadema afteter 9 days to come up with conclusive action!!
 
Huyu dogo Makamba ubunge na uenyekiti wa kamati amepewa kwa kazi moja tu ya kuhakikisha hasara waliyoipata Dowans inarudi kwa ujanja. Pale kukitokea gap tu anatulipua. Mi nadhani angeelekeza nguvu pia kuhakikisha vyanzo vyote vya umeme vinazalisha to the capacity.
 
naona inabidi nirushe ile scud ya mwisho kabisa kuwachanganya hawa watu..

Mwanakijiji, wataka kuwa kama yule aliyesema wala rushwa anawajua lkn anawavutia pumzi siyo? Hii ni vita mkuu so hata kama "ki-9/11 style na itumike tu provided italeta ushindi! Achia hiyo scud mzee iangamize govt italipa fidia kwa waathirika,ucjali!
 
Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati Makamba amefanikiwa kuwaziba mdomo wapinzani wa Dowans kwa kuitisha Public Hearing leo katika ukumbi wa Karimjee. Mkutano huo wamealikwa wananchi wanaothirika na umeme ambao wanataka mitambo hiyo iwashwe na Dowans walipwe kwa mkataba

habarindiyohiyo

Lisemwalo lipo pamojanakuandikwa sana na wana jf minilijuwa uzushi fitinaa kumbe siutani hichonikifo chamfamaji tusifemoyo tuwasapoti wenyekuonyesha machungu na tz kunasiku tutafika mungu si wamafisadi pekayao ata sisi wararahoi ni wetu
 
Mimi na maswali ya kuhusu Janurary wanamwita mtoto wa Makamba yule aliehusika kumsadia Jk kuiba kura;
1. January ulipata wapi legistrative experience ya kuupata uenyekiti? Kama sio Makinda kaambiwa na Baba yako na Rostam.
2. Unataka kujadili kitu gani na wananchi wakti unatakiwa useme familia yako inajua kiasi gani huyu Rostam na mwarabu aliekuja kutoka Oman-Zanzibar?
3. Unachopigania Downs kila leo unataka kuwa tajiri kama Baba yako na mjomba wako JK ili upate pesa za kuwaonga watanzania kwa kanga (wajinga kama wewe) ili upate kusimama kugomea uraisi? Hii siku haitafika hata mara moja.
4. Unaonyesha jinsi gani familia zenu mlivyo wezi kama familia ya Gadhafi-Ufisadism. Kipindi hiki hakuna kitu hapa

"January, Familia ya Makamba na Kikwete na Familia Yake na Rostam Mjue Tutawafukuza Kama Gadhafi"
 
Hivi huyu dogo kakosa gia ya kuanzia hadi atoke na hili fupa la Dowans? I can see the beginning of the end of this boy's political carrier.
 
Januarry angalia democracy huko Mwanza, Musoma na Ukanda wa Ziwa. Kama ungekuwa na akili ungejiudhuru tangu jana. "
Its Over January"
 
Back
Top Bottom