Makamba adai ana miaka minne ya kuishi ambao afe kwa amani, azikwe kwa heshima

Hii ni kufru na kibri cha hawa watu wanaopata madaraka kidogo ya kidunia na baadaye wanamsahau muumba.

Nakumbuka maneno hata aliwahi kutamka hata Nyerere katika moja ya birthday yake na kusema kuwa haoni sababu yeye asifikishe miaka 80. Je alifika?

Haya tumuone makamba naye? Tumuombee

umuombeaje mtu anaejiona mfu akiwa hai....ombea wale wagonjwa pale muhimbili na mahospital kwingineko uapate baraka...unajua kuna maombi mengine ya kuleta laana...ukimwombea makamba afikishe 80 wakati anataka 75 unashangaa anaanza mtoto...sasa bora umwombee anaetaka mia hata akifikisha 80 good...ama muombee BIBI YANGU BEST ANA 85 MI NAOMBA AFIKISHE TU MIA(100) MUNGU AATAKUTUPA KWENYE MAITAJI YAKO KWA MAOMBI HAYA..HUYU BIBI ANAWABARIKI WATU WOTE WANAOMWOMBEA HAI
 
Kwanza atubu na ajutie makosa ufisadi wake ili tumsamehe na akifa aende peponi na azikwe kwa heshima
 
kuna imani kwamba wachawi huwa wanajua miaka yao ya kuishi......................
 
71 yrs unang'ang'ania offisini mpaka ufe!!!!!!!!!!! ni hatari sana kuongozwa na watu waliokata tamaa namna hii.
 
Duh Kizee kiliwa-tisha/katisha tamaa Watoto... Yaani wao ndio kwanza hawajaanza mshike mshike wa kusaga lami kutafuta kazi bado kazee kanawasisitizia kuwa kataendelea kung'ang'ana madarakani. Hao waliomaliza Form six watamkuta bado yupo... Yusufu acha hizo BANA!!
 
Na Joyce Mmasi

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amewaomba watu wanaomfuatafuata kumuacha ili afe kwa heshima kutokana na kubakiza miaka michache ya kuishi duniani.

"Mimi nina miaka 71 sasa, nimebakiza miaka mine tu nife, lakini kuna watu wananifuata ooh Makamba kafanya hivi, wanataka kuniharibia bure, kwanini wasiniache nife nizikwe kwa heshima" alisema Makamba na kuwaacha watu wakiangua kichezo.
Nyani haoni kundule,Makamba alishakufa zamani sana baada ya kuanza kupokea mishiko toka kwa mafisadi.
Amejitengenezea njia safi ya kwenda jehanamu kwa kwenda kinyume cha maadili kwa kupokea rushwa na kutetea wala rushwa/mafisadi.
Makmba hawezi kujivua kosa la kuwatetea kina RA,EL na wengine katika chama.
Yeye pamoja na hao ilibidi wachapwe viboko 12 siku wakifa, na vingine 12 siku ya ufufuo!
 
Hivi kwa nini hawa wana siasa wana alikwa sehemu kama hizi? Mtu anaenda kwenye mahafali ya wanafunzi badala awape wosia kama mtu mzima anaanza kuongelea matatizo yake ya kisiasa. Na siyo kwenye mahafali tu hata wakialikwa sehemu zingine kama kanisani au misikitini bado ni siasa tu. There is a time and place for verything GODDAMN IT!

Read the whole article before you put your hatred commentary hapa bwana. Kwenye biblia kuna vifungu vinavyopredict umri wa mtu kuishi duniani--and Yusuf was just referring to those. And pointing out kwamba according to the teachings of biblia, he has only four years on earth. And he went on na kutoa usia kwa graduates. You are not being objective for criticizing him--just because you are a picky/shallow reader..With pre-conceived biasness.

Its okay ku-criticize mafisadi, that is what as a country we ought to do. But putting hatred na taking things out of context just kuwasema mafisadi is taking civilization out of a debate na tutapelekana kubaya. Toeni chuki katika siasa--argue objectively and if you hate CCM so much, then mwakani kajiunge na CHADEMA upige kampeni. Stop spreading hate from the Internet. Not only is it innefective, but also UnTanzananian.
 
Thats the whole point, it would not have mattered at all had Makamba not been on the wrong side of quoting the Holy Bible.
Huwezi kuwa mchafu/fisadi na bado uka quote kitabu kitakatifu-chochote kile ili kufikisha ujumbe wako.
Chama cha Mapinduzi sasa hivi kimepigishwa magoti na mafisadi na hii siyo siri.You should be living on the moon for you not to understand this.
Serikali vivyo inashindwa kufunction barabara kutokana na upepo mchafu wa harufu mbaya ya ufisadi.Watuhumiwa hawachukuliwi hatua , na kuna viongozi wanaodiriki kuwatetea wahalifu wa ufisadi na kuwasafisha baada ya wao kufaidika na ufisadi hoa.
Baada ya hapo mtu mwenye akili timamu kama mkuu Selemani unategemea wanachama wa chama kikongwe wakae na kuchekelea vizee hivi vinapo kibomoa chama kimaadili.
Give us a break
They should be shot.
 
Hii Graduation ya aina yake na yenyewe, mbona kama haijakaa vizuri, Graduation gani ya darasa la saba, form four na Six pamoja??

Hao walomwalika wenyewe sijui waliangalia vigezo gani...labda walitaka babu akawasimulie wajukuu hadithi za paukwa pakawa...

uzee wa mwili unaenda sambamba na akili...
 
yupi bora mzee,rais,kijana
 
Attachments

  • wade.jpg
    wade.jpg
    12.6 KB · Views: 40
  • wade+and+wife+2.jpg
    wade+and+wife+2.jpg
    20.8 KB · Views: 40
Read the whole article before you put your hatred commentary hapa bwana. Kwenye biblia kuna vifungu vinavyopredict umri wa mtu kuishi duniani--and Yusuf was just referring to those. And pointing out kwamba according to the teachings of biblia, he has only four years on earth. And he went on na kutoa usia kwa graduates. You are not being objective for criticizing him--just because you are a picky/shallow reader..With pre-conceived biasness.

Its okay ku-criticize mafisadi, that is what as a country we ought to do. But putting hatred na taking things out of context just kuwasema mafisadi is taking civilization out of a debate na tutapelekana kubaya. Toeni chuki katika siasa--argue objectively and if you hate CCM so much, then mwakani kajiunge na CHADEMA upige kampeni. Stop spreading hate from the Internet. Not only is it innefective, but also UnTanzananian.

Sasa mbona Japan wana life expectancy ya miaka 81? Ina maana Biblia imechemsha?
 
Huyu bado hakuwacha kunukuu vitabu vya watu na kutafsiri anavyotaka yeye?

Kwa nini hajifunzi kutokana na makosa yake?

Sasa akiishi zaidi ya hiyo miaka?

Kilichosemwa na Bibli ni 'estimate' sasa yeye kuitafsiri kama vile hakuna anayeweza kuishi zaidi ya hapo ana maana gani kama sio kutaka kutuletea zogo?
 
Sasa mbona Japan wana life expectancy ya miaka 81? Ina maana Biblia imechemsha?

Biblia haikuchemsha kwa hilo, Biblia inaleta 'estimate' kama jinsi mtume Muhammad (PBUH) alivyosema maisha ya umma wake yatakuwa takriban 60-70yrs.

Aliyechemsha ni Makamba kwa kujifanya yeye ni mtafsiri wa mambo asiyoyajua.
 
Kama biblia imetoa "estimate" mbona estimate ya Wajapani ni miaka 81?

Na watu wakiweza kufikisha life expectancy ya miaka 100 utakubali kwamba biblia imechemsha?
 
Kama biblia imetoa "estimate" mbona estimate ya Wajapani ni miaka 81?

Na watu wakiweza kufikisha life expectancy ya miaka 100 utakubali kwamba biblia imechemsha?

Mimi si Mkristo lakini kwa hilo unawaonea hawa ndugu zetu in humanity.

Ndugu yangu, kinachozungumziwa hapo ni estimated average na sio sheria ya Mungu kwamba hakuna atayakezidi umri huo.

Kwa nini u single out Japan na sio ulimwengu kwa ujumla?

Be fair my friend.

Yapo maswali mazito ya kuuliza juu ya Biblia lakini hili sidhani kama lina uzito pale utakapozingatia tafsiri yake sahihi.
 
Kama biblia imetoa "estimate" mbona estimate ya Wajapani ni miaka 81?

Na watu wakiweza kufikisha life expectancy ya miaka 100 utakubali kwamba biblia imechemsha?
Thats Bluray, always thinking with your index finger.
You seem to be short, even in your conlusions.
Mind you thread ina ongelea quote ya Makamba, mtetea mafisadi, unakoelekea ni kule kwenye index finger yako.
 
Back
Top Bottom