Elections 2010 Makamba aanza zogo jipya

Niliposoma habari hii, inaonyesha kuwa dhana ya Uchakachuaji bado ina nguvu ndani ya CCM. Ukweli kinachotafutwa hapo sasa ni zile siasa za kibabe na za kuonyeshana miraba minne. Kwa vile CCM ina nyenzo zote za uchakachuaji, (Nguvu ya Dola, na Pesa za Wafadhiri wake, mafisadi) uwezekano wa kuyafanya hayo yote upo kabisa.
MY TAKE: Katika moja ya post zangu, nilisema kuwa, kila siku kunapokucha, hawa waheshimiwa wanakuja na mambo ambayo yanaifanya Siasa ya Tanzania kuzidi kuwa tete, na kibaya zaidi, wananchi waliowengi, wameanza kuelimika na ukandamizaji huu wa kisiasa, na kwa maana hiyo uvumilivu unaanza kuwaisha. Narudia tena kusema, watu wakichoka na wakivumilia na kusema sasa basi, jamani hapata kalika hapa na hakuna atakaye kuwa salama. Chonde chonde CCM, busara itawale zaidi ktk siasa hizi zenye utandawazi mkubwa. Kama Urusi yalitokea mabadiliko, jamani sembuse Taznzania?
 
Nadhani hiyo NUNDU aligongwa alipokutana na KADHIA ile aliyoirusha Dr. Slaa hewani nasi wadau tukajua kilichomtoa nyoka pangoni.

Hiyo imabaki kama alama ya ukumbusho maishani mwake kwa kisa cha UDADAVUAJI alioufanya.

Maaana hata kauli zake zinakuwa ni zile za ZAMADANI.
 
Chadema na cuf na wao wafungue kesi mahakamani ktk baadhi ya majimbo ambayo ccm ni dhahiri ilichakachua.

Brilliant idea. Naona CCM wanapanga kumwaga ugali. CHADEMA pia wajipigepige na kufungua kesi katika majimbo yote 183 ambayo CCM imeshinda au hata kupita bila kupingwa, hata kama CHADEMA haikuweka mgombea.

Kuna kesi zinaweza kufunguliwa na (m)wananchi yoyote kupinga matokeo, siyo lazima awe mgombea.

Suala siyo lazima kushinda kesi hizo, bali pia kuwaweka CCM on defensive. Kumwaga mboga.
 
Back
Top Bottom