Makamanda waliotaka kudhulumiwa nafsi zao na mafisadi wanaendeleaje?

Darick

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
222
41
Wana JF na wana mageuzi wote mimi naona kama kuna shida kidogo ya kimawasiliano, kwa kuwa tangu jana ambapo makamanda wetu wamepelekwa mhimbili kwa kuumizwa na ccm hatuja pata updates isije ikawa tunapendana wakati wa uzima tu cc kama watanzania wapenda mabadiliko tungehitaji kujua wanaende hawa jamaa.

Kingine ambacho niliuliza ni matokeo ya udiwani katika kata zingine labda nilioverlook au niko sahihi, kwa kuwa ikiwa kata zilikkuwa 18 mbona ni kata saba tu ndizo tumepata matokeo yake? au niko wrong just let me know I need this information! natumaini watu wenye taarifa ikiwemo viongozi wetu watanijulisha mimi na watanzania wengine wanaosubiri kwa hamu kujua ni nini kinaendele
 
Nawaomba chonde chonde mlio na taarifa hizo mtujulishe jamani tunazihitaji sana!
 
Mnyika yupo Dar lakini kesi inamshughulisha hata anashindwa kutupa updates zao
 
Mh: Highness Kiwia alitamka kuwa kwa kuwa Mwita Gachuma kajiingiza katika kumpigia Jack Fish wa ccm campan wakati yeye ni mfanya biashara wa soda aina ya cocacola basi wananchi wasinywe soda za cocacola wanywe pepsi! kwa mujibu wa bro wangu anayefanya kazi Nyanza Bottling Company anasema for the 2 passsed weeks mauzo yameshuka sana ya soda za cocacola.

Polisi wa Tanzania kama kweli wangekuwa hawapo kisiasa zaidi wangeanzia hapa! Ikumbukwe ccm hawa hawa waliwahi kumuuwa mwenyekiti wao kwa cases za uchaguzi wa 2010 kule magu mlisikia mbunge wa sasa anavyotuhumiwa kutaka kumuuwa mbunge aliyepita yani daah! ccm is a gang og vempire.
 
Kiwia%2Ba5.jpg


Kiwia3.JPG


Kiwia%2Ba6.jpg


Kiwia%2Ba4.jpg
 
Kwa mjibu wa ITV, ambao kimsingi wame cover habari hii kwa sehemu kubwa ni kwamba hali zao zinaendelea kuimarika.
 
Habari ya saa mbili ya leo star tv wamewahoji waheshimiwa wanaendelea vizuri ila wamelaumu sana jeshi la polisi kwa kugoma kutoa ushirikiano ili hali ktk eneo la tukio kulikua na skari watatu tena na bunduki ila hawakutoa ushirikiano kuwanusuru waheshimiwa hawa.
 
Mwenyezi Mungu ni mwema, atawaponya na kuendelea na kazi zao za kuwatumikia wananchi waliowachagua!
 
Dah... nikuwa sijaziona picha hizi..Hivi kweli hawa wana CCM bado wanataka ushahidi gani zaidi kwa vitendo kama hivi maana nakumbuka ile ya Arusha hadi wakaua vijana wetu, Igunga wameua yaani bado tu tunawabeba hawa jamaa kwa nini lakini?..
 
Back
Top Bottom