Makamanda wa JK

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
303505_486158981408665_825143561_n.jpg
 
Mkuu mbona waliaibisha hilo jina lenye hadhi humu nchini?
hao hawawezi kuwa wapiganaji wa jeshi lolote duniani, pengine wametoka msituni karibuni.

Ni amri isiyoandikwa jeshini kuwa
  • usimlenge kwa bunduki askari mwenzio hata kwa bahati mbaya
  • si ruhusa kusngalia ndani ya mtutu bila kuacha chema ya risasi ya bunduki YAKO
  • hata ukifanya ukafuzi wa bunduki ya askari iliyofnyiwa usafi,UNAIMILIKI KWANZA mikononi mwako

Mtu kama wewe M Mkwawa ambao naona hamkupitia JKT, haya mambo kwenu ni magen,na hamuelewi kuwa senior officers wanakuwa na adabu kwa juniour cadres pale wanapomilikishwa silaha na risasi za moto!

Kwa taarifa yako hiyo bunduki ni G3, standard NATO Infantry basic gun, bunduki ambayo siyo standard issue ya JWTZ.
Emblem ya huyo mkaguzi ndiyo mwisho kabisa si ya Tz,lazima uwe muchunguzi.

Utaelewaje hayo kama hukupitia rigwaride?
 
Back
Top Bottom