Makamanda wa baadae wa Chadema

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Hawa ndio makamanda wa baadae wa Chadama. Kama unaweza kumtambua Gobless Lema, Dr Slaa, Zitto, nk wa baadae.

396184_267909889941221_100001666378577_697404_1626953374_n.jpg
 
Mbona hata hawacheki...hawa inaonekana wamevalishwa tu nguo lakini mawazo yao yapo kwenye jembe na nyundo kule kwa nyerere!namaanisha green party cha "kijani".Labda kidogo huyo wa pili toka kushoto ndio anaonekana kuwa na sura ya chama cha kususa na kuandamana..
 
hapana bana, wapo serious zaidi, wana uchungu na nchi yao, wangetabasamu mngesema ni wanafiki, kamanda siku zote hacheki, yupo kikazi zaidi.
 
huyo dogo wa kushoto na huyo wakulia watakuwa mabandidu kweli kweli, huyo spika wa enzi zao atakoma.
 
Ni jambo la ajabu kwa kweli kuwavalisha watoto Magwanda ya Migambo! Wamevalishwa kwa nguvu, watatu kutoka kulia ni mtoto DK Slaa?
 
Mbona hata hawacheki...hawa inaonekana wamevalishwa tu nguo lakini mawazo yao yapo kwenye jembe na nyundo kule kwa nyerere!namaanisha green party cha "kijani".Labda kidogo huyo wa pili toka kushoto ndio anaonekana kuwa na sura ya chama cha kususa na kuandamana..

Ni kweli wako hovyooo!! Na hayo magwanda yanawaelemea kwani ni mazito mno ndio maana wamenununa!!
 
Makamanda wa ukweli wa baadaye. serikali ya ccm itambue kuwa watoto wadogo kama hawa wamechoka na utawala wao, wanauchungu na nchi yao.
 
Ni kweli wako hovyooo!! Na hayo magwanda yanawaelemea kwani ni mazito mno ndio maana wamenununa!!
Wewe mama tatu si nimeshakuambia hiyo haja kubwa imekujaa hadi mdomoni, nenda ukaitoe kwanza maana harufu yake ni kali sana
 
ha haaa !! Jamani jamani watanzania tunaelekea pabaya. Hawa watoto ni innocent bado wala hawajui ugumu ya maisha, hii ni mida ya michezo na maburudiko sio kujitosa kwenye uwanja wa mapambano wa kisiasa.Mie naona ni kama child abuse ati. kisheria mwananchi anaruhusiwa kupiga kura akiwa na mika 18 sasa hawa watoto ni bado vidudu tui. Mkienedelea na design hii inamaana watoto hawana choice ya kujichagulia vyama yeyote ingine na kujilazimisha kufuata nyayo ya wazazi. god bless Tanzania.
 
Mbona hata hawacheki...hawa inaonekana wamevalishwa tu nguo lakini mawazo yao yapo kwenye jembe na nyundo kule kwa nyerere!namaanisha green party cha "kijani".Labda kidogo huyo wa pili toka kushoto ndio anaonekana kuwa na sura ya chama cha kususa na kuandamana..

ushazoea mambo ya kucheka kama Jk wa magambani, hapo hakuna kucheka hawapo kwenye mashindano ya urembo!.
 
Du chama cha kususa na kuandamana kwa vituko,sasa magwanda ya khaki na raba "mtoni" nyeupe wapi na wapi?mbona ni kama mlenda na pilau au supu iliyotiwa nazi..!
 
Back
Top Bottom