Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
Na ndicho alichofanya Andengenye, na ndicho kilichosababisha ahamishwe... Kule mwanzo (wakati wa mauaji), Andengenye alikuwa na miezi michache sana tokea amehamia Arusha, so Mwombeji alitumia mwanya huo...
Furaha ya wana wa Arusha ni kwamba Mwombeji siyo OCD wa Arusha tena. Amepelekwa mkoani kule ambako hakuna ulaji.