Makamanda Mawazo, Wenje na Rogerz wazindua rasmi M4C mkoani Geita leo

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Ndiyo wakuu! Leo hii mji wa geita na viunga vyake umezizima kwa mkutano mkubwa ulio ongozwa na Mb Wenje wa jimbo la Nyamagana, kamanda Mawazo,diwani wa zamani wa kata ya Sombetini-Arusha alie hamia cdm ktk harakati za Vua gamba,vaa gwanda na Kamanda Rogerz, katibu wa cdm wilaya ya geita. Katika mkutano huo ambao ki msingi ulikuwa ni uzinduzi rasmi wa M4C Mkoani geita ,jumla ya wanachama wapatao 60 wamejiunga na cdm. Katika kutimilika kwa kauli ya "mjinga akijitambua ,mwerevu upo matatani "wananchi wengi wanaume kwa wanawake, wazee kwa vijana wameitikia ujumbe wa M4C ambapo hili limethibitishwa na msafara mrefu wa baiskeli,pikipiki na magari ulio kuwa unaongozwa na Kamanda Mawazo kuelekea kwenye uwanja wa mkutano. Mbali na kutoa ujumbe wa M4C, Mbunge kivuli wa jimbo la geita, Kamanda Rogerz ametoa matamko mazito sana kwa mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa wa geita dhidi ya shughuli zao za ukada wa ccm ambazo zimekuwa hazina tija kwa wananchi wa geita na taifa kwa ujumla. Baada ya mkutano huo Kamanda Rogerz ameitwa polisi na OCD geita. Mpaka sasa hivi hatujui kama atawekwa selo ama ata achiwa. Zaidi tutazidi kujuzana yatakayo jili. Naomba kuwasilisha.
 
Pamoja na hayo mimi naitaka zaidi ile M4C kubwa kabisa maana inawasomba wote wliomo na wasiomo
 
Mkuu picture speaks louder than words! btw, thanks for info mkuu
 


Naibu Katibu Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe akiwahutubia wananchi na wanachama wa chama hicho waliohudhuria katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana Karatu mjini Mkoani Arusha.
AMEZUNGUMZIA MAMBO MAKUU MATATU

1.Taarifa ya Kamati ya Ngwilizi(Kutaka taarifa iwekwe Wazi)
2.Hoja ya mabilioni yaliyofichwa Uswisi na
3.Ulazima wa kuindoa CCM madarakani mwaka 2015 ili CHADEMA iongoze nchi na ktutokomeza umaskini kwa kupambana na ufisai na kukuza uchumi wa vijijini.

KWENYE MKUTANO HUO,MH:ZITTO KABWE ALIMABATANA NA WABUNGE WENGINE
TUNDU LISSU
JOSHUA NASSARI
ROSE KAMILI
 
Mwambieni huyo OCD geita asimsumbue Rogers. huyo ni mwakilishi tulio nyuma yake ni nyomi ya kufa mtu. Tukija hapo kituoni hapatakalika.
 
Tatizo lilipo ni kuwa DC wa wilaya geita ametoa amri kwa wenyeviti wa mitaa kushusha bendera za cdm kitu ambacho ni non sense. Ndiyo maana kwenye katiba mpya ijayo nafas za DC na RC lazima zifutwe kwa sababu hazina tija kwa wananchi kama siyo matumizi mabaya ya kodi za watanzania. Hivyo kwa tabia hiyo ya kuendekeza ukada , Mb Wenje amemufananisha na inzi, vilevile kamanda Mawazo amemufananisha DC huyo na mbwa. Pia ktk uzinduzi huo wa M4C zimepatikana jumla laki 5 za kitanzania.
 
Nimependa sana hapo Mbunge kivuli Mh Rogerz aiseee M4C ni noma yaani inakula kotekote ndani ya nchi hadi nje ya nchi Lol CHADEMA na mie dam dam!!!
 
wenje kama wenje ni mchapa kazi mzuri saana tatizo ni wale vijana wa chama chao wanaoamini katika fedha na kutafuta umaarufu i mean chagulani type ndio wanaotuchnganya
 
Back
Top Bottom