Makalio Makubwa...

Mwanamke nyonga(hips) kaka, masuala ya makalio ni majaliwa...ila usafi unahusika sana kiongozi...unaweza fungua kitabu ..ukapeleka shingo pembeni..hiyo harufu...mfereji haujasafishwa muda....

hapo umesema vema, harufu huwa inaniboaga hata sitamani kurudia round ingine,
 
baada ya kupita kwenye thread hizi nimegundua kitu kimoja "Utamu wa chai ni sukari bwana lakini kila mtu na kipimo chake" hahahahahahaaaaaa
 
ha ha ukweli ndo huo,mnataka hayo makalio makubwa mna uwezo wa kuyahimili na kuwaridhisha wahusika,ama mnajiangalia tu mnataka nini na vitu gani vitawaridhisha,,kuleni usawa wa kamba zenu!
kama fimbo ni fupi mno ,ukichapa lazima idunde.
 
Hivi kwa nini wanawake wanachoma sindano za silicon ili kukuza makalio yao? Wengine wanatumia mpaka dawa za Kichina kuongeza saidi ya makali? Mpaka inafikia wakati wanawake wananunua nguo special zilizotengenezwa maalum kuongeza ukubwa wa makalio? Secretary wangu anasema eti wanafanya hivyo ili kuongeza shepu zao kuwavutia wanaume. Anadai eti wanaume hupenda makalio makubwa kwa sababu ya kuyashikashika na wakati mwingine kuyapigapiga wakati wa tendo la ndoa. Wengine wanasema makatio ni station ya kutengeneza joto linalowafanya wanaume waone kama wako peponi wakati wa tendo hili. Mimi siamini haya. Wenye utajiri wa makalio watupe data.

chochote ukionacho kwa mwanamke, akifanya tofauti na ukweli ulivyo, ni jitihada za kumpata/kuwapata wanaume. sec wako yuko sahihi
 
waafrika halisi tunapenda maumbo makubwa, mambo ya english figa ni mambo ya ukoloni, mie binafsi napenda mwanamke mwenye matak0 makubwa, yani hawa wembamba hamna kitu, mwisho nimvunje bure
mkuu wangu C6 upo??
 
Last edited by a moderator:
wenye pasi zetu tupo kimyaaaaaaaa, ngoja nichungulie tu pembeni!
ahahhahahaahhahahhahahhahhaah watajibeba!pasi kasema nani?chezeya wake wa muheshimiwa Da .......................... wewe!
WAKUWACHEEEEEE!
 
cacico nipo mamaa la nguvu, ni juu nimetingwa na majukumu ya ujengaji wa nji hii
 
Last edited by a moderator:
ahahhahahaahhahahhahahhahhaah watajibeba!pasi kasema nani?chezeya wake wa muheshimiwa Da .......................... wewe!
WAKUWACHEEEEEE!
umeanza snowhite! mzima lakini? kwi kwi kwi, siku hizi limepungua, ni pasi lol, mwalimu wao upo?
 
Last edited by a moderator:
makalio ni fahari ya macho kwa watazamaji, inazidi sura ya usoni kwa mvuto.
 
Back
Top Bottom