Makala ya wiki iliyoichefua ikulu ikatishia kufunga gazeti

baada ya kusoma makala kama hii jk atatafuta sehemu ya kujisafisha. wazee wa dar-es-salaam.
 
Mod hivi kwa nini hakuna kitufe cha Dislike?????

Hata kingekuwepo hapo kisingekubali kubonyezwa, wewe si unatibiwa India!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Viongozi wa serikali wote ni janga la taifa nawe umeshuhudia hilo sasa leo unasemaje? Viongozi hao si wanatokana na ccm kwahiyo kuichagua ccm kweli kwa sasa ni janga la taifa hasa kwa uongozi wa JK, mbona hata nyie wenyewe mnakiri.
- Kinana alisema Rais anaona matatizo anakaa kimya, wapinzani wakisema anasema wanapiga kelele
- Chiligati sijui Msekwa hapa "juzi kati" alitaka kujiuzulu
- Wewe mwenyewe uko mguu ndani mguu nje, si ulishawahi kutishia kujiuzulu!!!!!!!!!!! Vipi mfupa umewakwama shingoni?
 
Tanzania zaidi ya uijuavyo.
Maendeleo ulaya Afrika msoto kisa*****
nina imani na *** oyaah oyaah oyaah.

RUKSA,MAMBO, KASI****
 
Mpayukaji nawe endelea tu kupayuka - ukweli unauma lakini wape vidonge vyao. Big up mpayukaji na nakupa "LIKE" ya nguvu
 
Huyo ni chaguo la Mungu!!! Nadhani waliosema hivyo hawakukosea ila wapokeaji ndio hawakuelewa. Duniani kuna imani nyingi sana na Miungu aina aina, wapo wanaoabudu Ng'ombe, Sanamu, Budha, Lusifa, Jehova, Allah, God na kadhalika. Kila mmoja kwa imani yake. Nadhani wale waliotangaza hivyo, walimaanisha FREEMASON GOD. Maana ndiye anaabudiwa kwa kafara ya damu. Rejea matukio ya umwagaji damu baada ya chaguzi za hawa wateule wa huyo Mungu, mengine hata si ya ajali bali ya kulazimisha kama yale mauaji ya Arusha. Na je vipi kinyang'anyiro cha Arumeru mashariki, kina uhusiano na mauaji ya Songea? FREEMASON NOMA!!
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia mia moja,makala hii imeafikiwa ndioooooooooooo!!!!!!!!!!!!,jamaaaa kafunguka anayebisha aje na hoja si vibaya!!!!!!!!!!
 
Mod hivi kwa nini hakuna kitufe cha Dislike?????
WEWE BROTHER NILIKUWA NAKUONA MPAMBANAJI NA UNASIMAMIA HAKHI KUMBE NAWE USHANYWESHWA UJI WA UNDELE,HIVI NINYI WASOMI MLIOKO HUKO CCM MKISHAINGIA HUKO WANAWALOGA?AU MNAJITOA AKILI ILI MRADI KITUMBUA KIINGIE TUMBONI?AU UNAMWOGOPA MH.HUSSEIN BASHE ASIJE KUKUMWAGA KWENYE KURA ZA MAONI MAANA SHOKA LA MWENYEKITI NDIO LIMEKUWEKA HAPO KWA HIYO HATA PhD YAKO INADHALILIKA KWA KUTETEA HATA YALE AMBAYO WEWE HUYAAMINI!!!!!!!!!!!!!
 
baba haambiliki utamwambia nini akuelewe yeye kila kitu anajua.tumwowbe mungu siku ziende kama upepo ili apumzike.!
 
JK ALIOMBA KURA KWA WATANZANI WAKAMPA JAPO SINA HAKIKA SASA KURA ZETU NDIO FIMBO ANAYO TUCHAPIA WATANZANI KWA KUSADIWA NA WAZEE WA DARESALAAMA JAPO WAO FIMBO NIHIYOHIYO mie nimesema tu
A%20S-frusty2.gif
 
tusitegemee mabadiliko chini ya chama tawala.. watu wote wanaakili zinazofanana wao wanawaza kuifirisi nchi tu.
 
Dr Kigwangala hawezi simama pahala popote aseme mbaya dhidi ya ccm ama hata kukubaliana nae cause kwanza yuko kwenye mfumo huo na ananufaika nao, pili nafasi aliyonayo ni kwa fadhila/kubebwa tu na walioko juu ya chama kumbukeni kwenye maoni alikuwa nafasi ya ngapi na nini kilitokea hadi kumweka yeye
 
katika nchi duniani inayohitaji mapinduzi ya haraka ni Tz-maana kama ni viongozi wa kutuongoza kwa kweli hatuna
 
hivi safari za jakaya zipatazo 366 hivi, idadi ya wapambe anayokwenda nayo, gharama ya kila mpambe. Hizi si hela ambazo zingetosha kutatua tatizo la walimu na madaktari japo kwa wakati fulani?
 
ama kweli jk ni janga la kitaifa na hili halina ubishi - hata baba wa taifa alituasa kuwa hafai kuongoza nchi sasa tunayaona mamatokeo yake........
 
Back
Top Bottom