Makala ya wapo radio; utata nchini Tanzania

makala yamemalizika! yalikuwa makala mazuri maana yamekusanya taarifa muhimu kuhusu sakata Richmond na Dowans. Hii radio kume iko wealth kusikilizwa. wamezungumza bila kumng'unya na kutukumbusha neno kwa neno! kumbe frequency yao ni 98.0

Shukrani Mwanalugali kwa kutupasha habari muhimu kama hii
 
kwan hamjamckia naibu msajiri wa mahakama nae akisema dowans wanaeza lipwa hata nje ya mahakama hyo tuzo wakikubaliana(mdai n mdaiwa)....!?huu c utoto km co masihara jaman?
 
Back
Top Bottom