FarLeftist
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 363
- 20
kwa swala la udini au racism ni tofauti na unavyowaza, UNAHITAJI KUWA MDINI KWANZA ILI UWEZE KUTAMBUA KAMA KUNA UDINI KWENYE JAMII INAYOKUZUNGUKA, wapagani, watu wa dini za asili, wahindu, ethiests nao waongelee udini gani, mi naamini udini unaanza na wewe kwanza kisha ndio unaweza kutambua wadini wengine....kweli wewe ni mgagagigikoo... mwisho utasema anayeongelea umaskini ndio maskini, anayeongelea wizi ndiye mwizi, anayeongelea ukimwi ndiye mkimwi, anayeongelea ushoga ndiye shoga
what a shallow way to analyse deper stuff
keep it up coz if i say pull up your socks utasema umeongelea socks basi na wewe ni soksi
yah kama unafahamu maana ya wagagagigikoko utatambua sio mimi tu bali ni watz wote...