Makala ya nyota.Utauliza LIVE FNL(chanel 5) tonight from 22:00 hrs.Duration 15 min.

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,259
117
Habari zenu JF members!
Leo EATV KWENYE KIPINDI CHA FNL utamuuliza maswali ya hapo hapo Mtabiri wa nyota.
Hilo halihitaji majungu na mashaka uliza ujue pia upate uhakika wa kazi zake.
Pia anapatikana kwenye gazeti la kila siku la Mwananchi uk wa nyota.
Karibuni!.
 
Ahsante mtaalam. Jana nlitazama kweli mambo uliomweleza jamaa nami ninae ndugu yangu yaani ni vile vile ulivyo eleza.
Nami ninalo tatizo fulani ntakutafuta!.
Na kuhusu dawa duh ulielezea japo ilikua juu juu. Bora ungepewa muda wa kutosha ili tujue mengi zaidi.
 
Back
Top Bottom