Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,020
Maggid hawezi kudhubutu hili hata kwa dawa.
Hatutaki Mutiny ya jeshi Tanzania yetu hii, tunajua wengine mpo ulaya maisha mmeyapatia. Siye hatuna pa kukimbilia zaidi ya Tanzania yetu hii hii. Jeshi ni wito kama huyo mwigamba lilimshinda na akasepa, aendelee na kazi zake nyingine. Ningemuelewa kama angewashauri wengine nao wasepe kama yeye, sio kufanya uasi. Uasi wa jeshi ni chanzo cha machafuko. Na machafuko hayachagui sura. Hao viongozi watakua wa kwanza kupanda ndege kwenda uhamishoni, tutakaobaki patachimbika.
Kamwe siungi mkono UHURU WA KIPUMBAVU usiokua na mipaka!... Sitaki kumquote Nyerere maana wengi wameshamquote kuhusu
UHURU usio na mipaka.
Besides ningependa Kubenea nayeye aichapishe ili aunganishwe kwenye kesi na Kibanda, ili kutupunguzia mzigo wa waandishi wachumia tumbo kwenye tasnia ya habari.... Maana kwa kweli wanachefua hawa walamba ****** wa mafisadi.
Hangaikeni na mikesi mwenzenu EL kishaanza kusaka watu wengine watakaofanya kazi yenu ya kumsafisha!

kweli kabisa MMM
Kama vyombbo vya habari nchini - hasa vile vinavyodai kuwa viko huru - vinaamini kuwa makala ya Mwigamba ni makala ya maoni na kuwa maoni yake yanalindwa na uhuru wa maoni basi vyombo hivyo virudie makala hiyo kwenye magazeti yao kama ishara ya kutopishwa magoti. Wahariri wanaoamini kuwa Kibanda anaonewa na kuwa kinachofanyika ni njama tu ya kutisha vyombo vya habari basi huu ndio wakati wa kuonesha imani hiyo kwa vitendo - chapisheni makala ya Mwigamba tena jinsi ilivyo na muwe tayari kuungana na Kibanda.
Au mnatakaa tuwaambie alichokifanya Robert Makange na Kheri Rashid Baghella? Au hata waandishi wetu na watoa maoni hawana mifano tena? Well.. kama mmepigishwa magoti na serikali ombeni radhi kuwa kuanzia sasa mtakaa kwenye mstari lakini kama kweli mnaamini katika uhuru wa maoni (hasa maoni yenye kuudhi na kukera watawala) basi rudieni makala hiyo na pia waelezeni wasomaji wenu (kwenye tahariri) kwanini mnafanya hivyo.
I for one intend to do the same. Haki ya maoni haisemi ni haki ya maoni yenye kuwafanya watawala watabasamu na kucheka. Haki ya maoni ya kuudhi, kukera na kuwafanya watawale wawe nyongo inastahili kulindwa kama vile haki ya wale wanaotaka tuimbe wimbo wa "tunawapenda tunawapenda". Uhuru wa vyombo vya habari hauko kwenye kumiliki kwake au jina lake bali uko kwenye kuwa huru kutoa maoni pasipo kulazimishwa aina ya maoni ya kutoa.
MMM
mzee.acheni uchochezi wewe.
Kama hii ni design ya wasomi/ma great thinker tulionao nina wasi wasi sana na huko tuendako kama taifa.
Mimi binafsi sikupata bahati yakuona wala kusema hiyo makala. Hivyo basi tunaomba kama kuna mtu anaweza kuiweka hapa tafadhali
Hatutaki Mutiny ya jeshi Tanzania yetu hii, tunajua wengine mpo ulaya maisha mmeyapatia. Siye hatuna pa kukimbilia zaidi ya Tanzania yetu hii hii. Jeshi ni wito kama huyo mwigamba lilimshinda na akasepa, aendelee na kazi zake nyingine. Ningemuelewa kama angewashauri wengine nao wasepe kama yeye, sio kufanya uasi. Uasi wa jeshi ni chanzo cha machafuko. Na machafuko hayachagui sura. Hao viongozi watakua wa kwanza kupanda ndege kwenda uhamishoni, tutakaobaki patachimbika.
Kamwe siungi mkono UHURU WA KIPUMBAVU usiokua na mipaka!... Sitaki kumquote Nyerere maana wengi wameshamquote kuhusu
UHURU usio na mipaka.
Besides ningependa Kubenea nayeye aichapishe ili aunganishwe kwenye kesi na Kibanda, ili kutupunguzia mzigo wa waandishi wachumia tumbo kwenye tasnia ya habari.... Maana kwa kweli wanachefua hawa walamba ****** wa mafisadi.
Hangaikeni na mikesi mwenzenu EL kishaanza kusaka watu wengine watakaofanya kazi yenu ya kumsafisha!
Kama vyombbo vya habari nchini - hasa vile vinavyodai kuwa viko huru - vinaamini kuwa makala ya Mwigamba ni makala ya maoni na kuwa maoni yake yanalindwa na uhuru wa maoni basi vyombo hivyo virudie makala hiyo kwenye magazeti yao kama ishara ya kutopishwa magoti. Wahariri wanaoamini kuwa Kibanda anaonewa na kuwa kinachofanyika ni njama tu ya kutisha vyombo vya habari basi huu ndio wakati wa kuonesha imani hiyo kwa vitendo - chapisheni makala ya Mwigamba tena jinsi ilivyo na muwe tayari kuungana na Kibanda.
Au mnatakaa tuwaambie alichokifanya Robert Makange na Kheri Rashid Baghella? Au hata waandishi wetu na watoa maoni hawana mifano tena? Well.. kama mmepigishwa magoti na serikali ombeni radhi kuwa kuanzia sasa mtakaa kwenye mstari lakini kama kweli mnaamini katika uhuru wa maoni (hasa maoni yenye kuudhi na kukera watawala) basi rudieni makala hiyo na pia waelezeni wasomaji wenu (kwenye tahariri) kwanini mnafanya hivyo.
I for one intend to do the same. Haki ya maoni haisemi ni haki ya maoni yenye kuwafanya watawala watabasamu na kucheka. Haki ya maoni ya kuudhi, kukera na kuwafanya watawale wawe nyongo inastahili kulindwa kama vile haki ya wale wanaotaka tuimbe wimbo wa "tunawapenda tunawapenda". Uhuru wa vyombo vya habari hauko kwenye kumiliki kwake au jina lake bali uko kwenye kuwa huru kutoa maoni pasipo kulazimishwa aina ya maoni ya kutoa.
MMM
Bila kusahau na kwenye kijarida cha "Cheche za Fikra"MMM Nakubaliana kabisa na maoni yako kwa 100% na ninaamini wewe pia ni muumini wa freedom of speech kama ulivyoilezea hapa kiuzuri kabisa unaonaje kwa kuanza ukarudia wewe kama wewe kwenye blog yako, threads hapa JF, Facebook na hata ukausambaza kwenye emails, ni hayo tu.
Mkuu,Asante Mzee Mwanakijiji for wishful thinking, japo moyoni, nakuunga mkono, ila ukweli halisi on the ground is something else!
Hakuna hata gazeti moja lolote lililoko Tanzania litakalothubutu kuirudia makala hiyo!. Hatuna media zenye ushujaa huo wa kuingiza nguu ndani ya moto ambao unajua utaungua. Hapa Tanzania hatuna kabisa suicide commandos, na kwa waandishi ndio kabisa, waoga kama kunguru.
Vita ielekezwe kwenye kuipinga Sheria ya Magazeti, Number 3 ya Mwaka 1976!, nothing more, nothing less!.
Waraka Maalum kwa Askari wote - Na Samson MwigambaMimi binafsi sikupata bahati yakuona wala kusema hiyo makala. Hivyo basi tunaomba kama kuna mtu anaweza kuiweka hapa tafadhali
MMM Nakubaliana kabisa na maoni yako kwa 100% na ninaamini wewe pia ni muumini wa freedom of speech kama ulivyoilezea hapa kiuzuri kabisa unaonaje kwa kuanza ukarudia wewe kama wewe kwenye blog yako, threads hapa JF, Facebook na hata ukausambaza kwenye emails, ni hayo tu.
Bila kusahau na kwenye kijarida cha "Cheche za Fikra"