Makala ya Mwanakijiji: Serikali ya TZ na double standard kwenye "utawala wa sheria"

Guys hao wakina FF msiwajibu muwaache kama walivyo kwa sababu tumeshajua nia yao iko vipi,so hata akipinga mu ignore post yake then ataacha kuandika upupu,tusipoteze muda nae nuyo.......tuendelee kuchangia post
 
wale waliotumwa na Nape humu jukwaani wala tusiwajibu

Aminia,maana tukibishana nao watatuchosha vichwa vyetu na huku wanajuwa wanachokifanya na mda mwingine tutakaa kubishana nao wakati kila kitu kipo open......
 
1) Fair Enough

2) Kuna uhusiano upi kesi ya madai na kesi ya kuvuruga amani? moja ni criminal case na moja ni civil case. Hapo amechemsha ana "compare" oranges na apples.

3) Sawa na namba mbili hapo juu.

4) Kesi tofauti kabisa na kama unaona wapo na sheria hazijachukuliwa unangoja nini kuwashitaki? Ulikatazwa?

5) EPA, looo! soma hapa: KESI YA EPA: Maranda, Farijala wafungwa miaka 5

6) Kesi za manunuzi maarufu hizi hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kesi-dhidi-ya-balozi-mahalu-na-wenzake.html na hii hapa: Shahidi amlipua Dk. Msabaha kesi ya Bosi wa Richmond na pitia TAKUKURU ukaone zingine kibao,si zote zinazotangazwa.

7) Macho ya kengeza? hivi mtu mzima unatolea mfano kilema cha mtu kama vile ameomba? huu ni upunguwani wa hali ya juu, kuna nyuzi mwanakijiji alianza kumkebehi aliye na matatizo ya akili humu humu JF leo anatolea mfano kwa macho kengeza kama yule mwenye nayo kapenda hivyo au kajiumba mwenyewe? Hata Mwenyekiti wa chama kimoja cha siasa hapa nchini ni kengeza lakini ni lini akatolewa mfano kwa kilema chake? Au anataka kumdhalilisha?

Hao aliowataja wote ni pumba tu na chuki binafsi. Kutaja majina bila kuonesha makosa yao ndio nini?

Kuna msemo wa kiswahili unaswihi sana kujibu hoja zako nao ni huu" APENDAE, CHOGO HUONA KENGEZA" Faizyfox kinachokusumbua wewe ni mahaba uliyo nayo juu ya CCM na mafisadi wake so huwezi ona ukiukwaji dhahir wa sheria unaofanya na CCM kwa kuwatumia watendaji wa serikali!
 
Fair enough. Everybody is entitled to their opinion - manure or not, notwithstanding.

Hata jambazi, malaya, nk....ukiwasakama against their immoral behaviours - wana point kali hao pengine kuzidi hata malaika!

Umenena mwana, kwa kuongezea, hata wauza malaya, wavunja ndoa za watu na wao huweza kuwa na point "kuzidi hata malaika!" pia au sio?
 
1) Fair Enough

2) Kuna uhusiano upi kesi ya madai na kesi ya kuvuruga amani? moja ni criminal case na moja ni civil case. Hapo amechemsha ana "compare" oranges na apples.

3) Sawa na namba mbili hapo juu.

4) Kesi tofauti kabisa na kama unaona wapo na sheria hazijachukuliwa unangoja nini kuwashitaki? Ulikatazwa?

5) EPA, looo! soma hapa: KESI YA EPA: Maranda, Farijala wafungwa miaka 5

6) Kesi za manunuzi maarufu hizi hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kesi-dhidi-ya-balozi-mahalu-na-wenzake.html na hii hapa: Shahidi amlipua Dk. Msabaha kesi ya Bosi wa Richmond na pitia TAKUKURU ukaone zingine kibao,si zote zinazotangazwa.

7) Macho ya kengeza? hivi mtu mzima unatolea mfano kilema cha mtu kama vile ameomba? huu ni upunguwani wa hali ya juu, kuna nyuzi mwanakijiji alianza kumkebehi aliye na matatizo ya akili humu humu JF leo anatolea mfano kwa macho kengeza kama yule mwenye nayo kapenda hivyo au kajiumba mwenyewe? Hata Mwenyekiti wa chama kimoja cha siasa hapa nchini ni kengeza lakini ni lini akatolewa mfano kwa kilema chake? Au anataka kumdhalilisha?

Hao aliowataja wote ni pumba tu na chuki binafsi. Kutaja majina bila kuonesha makosa yao ndio nini?

Sasa naelewa kwa nini wanakuogopa, unaakili sana, ila naona maisha yako hapa yatakuwa mafupi sana maana ukweli humu ni wa upande ule tu.
 
Kuna msemo wa kiswahili unaswihi sana kujibu hoja zako nao ni huu" APENDAE, CHOGO HUONA KENGEZA" Faizyfox kinachokusumbua wewe ni mahaba uliyo nayo juu ya CCM na mafisadi wake so huwezi ona ukiukwaji dhahir wa sheria unaofanya na CCM kwa kuwatumia watendaji wa serikali!

Mimi nimezijibu hoja, wewe unaongea yangu, unanini babuwee, hebu jibu hoja basi, kama huna basi zimekuingia hizo hoja na unakubaliana nazo.
 
1) Fair Enough

2) Kuna uhusiano upi kesi ya madai na kesi ya kuvuruga amani? moja ni criminal case na moja ni civil case. Hapo amechemsha ana "compare" oranges na apples.

3) Sawa na namba mbili hapo juu.

4) Kesi tofauti kabisa na kama unaona wapo na sheria hazijachukuliwa unangoja nini kuwashitaki? Ulikatazwa?

5) EPA, looo! soma hapa: KESI YA EPA: Maranda, Farijala wafungwa miaka 5

6) Kesi za manunuzi maarufu hizi hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kesi-dhidi-ya-balozi-mahalu-na-wenzake.html na hii hapa: Shahidi amlipua Dk. Msabaha kesi ya Bosi wa Richmond na pitia TAKUKURU ukaone zingine kibao,si zote zinazotangazwa.

7) Macho ya kengeza? hivi mtu mzima unatolea mfano kilema cha mtu kama vile ameomba? huu ni upunguwani wa hali ya juu, kuna nyuzi mwanakijiji alianza kumkebehi aliye na matatizo ya akili humu humu JF leo anatolea mfano kwa macho kengeza kama yule mwenye nayo kapenda hivyo au kajiumba mwenyewe? Hata Mwenyekiti wa chama kimoja cha siasa hapa nchini ni kengeza lakini ni lini akatolewa mfano kwa kilema chake? Au anataka kumdhalilisha?

Hao aliowataja wote ni pumba tu na chuki binafsi. Kutaja majina bila kuonesha makosa yao ndio nini?

mshangiliaji huyo lazima awepo, zinahakikiwa na Nape kabla ya kulipwa. Karibu najua ni njaa tu ikiisha utatumia akili yako.
 
Sasa naelewa kwa nini wanakuogopa, unaakili sana, ila naona maisha yako hapa yatakuwa mafupi sana maana ukweli humu ni wa upande ule tu.

hakuna anayemwogopa nami nataka aendelee kuwepo, wala sitaki kumwona mtu akimbugudhi. mwacheni dada/kaka FaizaFoxy adunde si unajua ajira bongo ni Nape
 
Nakiri, Mungu amekunyima akili.

Wewe aliokujaalia akakupa hizo akili namuomba akuzidishie. Amiin. Mimi alizonipa namshukuru na namuomba anizidishie ilmu na anizidishie kuitowa hiyo ilmu kwa kadri ya uwezo alionipa. Amiin.

Nakuomba na wewe niombee dua za kheri, binadam hatujakamilika.
 
mshangiliaji huyo lazima awepo, zinahakikiwa na Nape kabla ya kulipwa. Karibu najua ni njaa tu ikiisha utatumia akili yako.

Vipi? hoja zimekushinda? tafadhali jibu hoja achana na njaa yangu. Unanini weyeee khaaa!
 
hakuna anayemwogopa nami nataka aendelee kuwepo, wala sitaki kumwona mtu akimbugudhi. mwacheni dada/kaka FaizaFoxy adunde si unajua ajira bongo ni Nape

Chief Mkwawa umenena na umesikika, tungekuwa na machifu kama wewe wawili watatu humu, mambo yangekuwa swaaafi. Jee, unajuwa kuwa babu yake Kikwete alikuwa Chief wa ukweli?
 
Vipi? hoja zimekushinda? tafadhali jibu hoja achana na njaa yangu. Unanini weyeee khaaa!

Mimi nakuangalia tu unanipa burudani nasoma akili yako. najua Nape kakupa deal zuri. Watanzania wa kweli wanaandika hoja wewe unatumwa na akili za Nape. Huwezi kuwa na hoja. Mpaka mapacha waondoke na list ya mwembe yanga iende keko. Kumbuka bosi wako ni mwanachama wa CCJ. Ila waambie wote mliajiriwa na Nape wapost inasaidia sana kujua akili zenu.
 
Chief Mkwawa umenena na umesikika, tungekuwa na machifu kama wewe wawili watatu humu, mambo yangekuwa swaaafi. Jee, unajuwa kuwa babu yake Kikwete alikuwa Chief wa ukweli?

Usidhalilishe machief dada/kaka
 
Ni lini mwanakijiji ameanza kutete mabaya?...duh

kupelekwa kwa Mbowe mahakamani siyo issue tena..it was a right decision..mambo ya fairness ni kupindisha sheria
 
Hili nalo neno tuwaache wapite na iginorance zao kama vile hatujawaona. The good thing ni kwamba ile Tsh 2000 yao ya per day wataipata so hatutaathiri mapato yao. Nimeambiwa determinant ya pay ni posts sio responses so waendelee kupost upupu wao na sisi pia tutaendelea kuupotezea upupu wao-win win situation.

duh! kumbe kuna issue ya per day? njaa zitatuua
 
Kama hakuna double standard je DC- Ilala mbona hajakamatwa wakati mahakama ilishatoa Arrest Warrant? DC hayuko mbali na ofisi za Kova (nadhani km 7 hivi). Mithali 24: 24-25 " Amwambiaye mtu mwovu, wewe una haki; Kabila za watu watamlaani, taifa watamchukia; Bali kwao wakemeao furaha itakuwako; Na baraka ya kufanikiwa itawajilia
 
Mimi nimezijibu hoja, wewe unaongea yangu, unanini babuwee, hebu jibu hoja basi, kama huna basi zimekuingia hizo hoja na unakubaliana nazo.

Sikuona sabau ya kujibu hoja zako dhaifu, na niliona wazi kuwa unareact kwa kufuata mapenzi yako juu ya CCM na ulikataa makusudi kuziona hoja dhahiri za MMK. kwa zile unazoita hoja zako ni hivi
1- sioni cha kujadili
2- Umesema MMK analinganisha oranges na apples, ni wazi wewe ndio umeshindwa ona mantiki ya hoja za MMK, alichosema MMK ni kweli maana mbowe alikamatwa kwa KUKAIDI amri halali ya MAHAKAMA na ni mahakama iliyotoa amri ya KUKAMATWA Balali alipokataa kumlipa Vilambia, so hoja hapa ni wote walikataa KUTII amri ya mahakama lakini kwa nini Mbowe tu ndio aonekane amevunja sheria?
3- sitajadili hii kwa msingi uleule uliotumia wewe kutojadili hii
4- Sijui sana kuhusu sheria lakini MAHAKAMA inapotoa amri ya kukamatwa mtu aliyekaidi amri yake haijarishi aina ya kesi na hakuna alie juu ya sheria
5-Hoja hapa ni kuwa kagoda waliiba zaidi ya 30% ya pesa zote zilizoibwa BOT lakini serikali hajaonesha hata nia ya kuwakamata japo wanajuliakana, kama kweli serikali inaheshimu utawala wa sheria inasita nini kuwakamata hawa na kuwafikisha mahakani na sheria ichukue mkondo wake kama kwa akina Farijala?
7- Acha kukimbia hoja za msingi kwa kujifanya eti unaonea huruma "kilema cha mtu" kwani kengeza ni tusi,mbona wewe unamtindio wa akili!
 
Back
Top Bottom