Makala ya mchokonozi

Mwana va Mutwa

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
459
53
katika gazeti la dira ya mtanzania,jana,tarehe 11/08/2011 kuna makala inayoitwa mchokonozi,inayoandikwa na mwandishi anayeitwa Charles Mullinda,makala inaongelea juu ya mbinu mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumika kuchafuana baina ya watumishi wa umma na wanasiasa.
kwamba kuna waandishi wa habari huwa wananunuliwa ili kuandika mambo mabaya ya mtu ili kumharibia katika jamii,nia ikiwa ni maslahi binafsi.
mchokonozi kawaumbua kwa kuanika hadharani baadhi ya majina ya wahusika wa mchezo huo ambao anasema walijaribu kumnunua ilhali wakijua hanunuliki,na pesa yao kaila,na hataacha kuila,ila hawezi kuwatumikia na ataendelea kuwaumbua kwa kuwa ni wapumbavu.
baadhi ya aliyoandika, namnukuu

Mwandishi wa habari msaidizi wa Rais Premi Kibanga, aliponiita kirafiki ofisini kwake Ikulu ya Dar es Salaam na kunipa kazi ya kushiriki kufanya mapinduzi dhidi ya viongozi wa serikali, wabunge na watendaji wa bunge kupitia safu hii ya mchokonozi, alikosea.
Ni kibanga aliyenitambulisha kwa kimbangambanga Julius Mgaya,maarufu kwa jina la kimambaye sasa anaandamwa na tuhuma mbaya za utapeli , kuwa ni 'boy friend' wake,na mfanyakazi wa idara ya usalama wa taifa......
Ni kipindi hicho,nilipotambulishwa na kim kwa Justina Shauri, ambaye ni mtumishi mwandamizi wa ofisi ya bunge kuwa ni mwenzetu katika vita...

na anaendelea kusema wasimlaumu kwa kutofanya kazi yao kwakuwa kuna mtu aliyemdokeza kuwa anatumiwa na watu hao,mtu huyo aliyemdokeza hivo anamtaja kwa jina la thomas apson mwang'onda,aliyemwambia kim ni tapeli.

kwakweli makala ni ndefu kama upo dar itafute na uisome kama bado hujaisoma,imewaanika hawa watendaji,lakini kama kawa hawatafanywa lolote, business as usual.
 
Makubwa
 
Back
Top Bottom