Makala Hii ya Kikwete kwenye Jarida ni Mashtaka dhidi yake, chama na serikali yake!

He's been in power for 6yrs out of 50yrs, or let's say 127yrs since this land had a government. If the maternal deaths/ under 5yrs deaths have decreased compared to when he was handed the presidency, then I can't blame him.....

We are not a trillion dollar economy ..... so, skyscrapers will always affect our Education, Health and food production.
Mkuu, JK nimegunduwa ni kwanini wamemfanya awe mtembeza bakuli wetu, kweli kayaelezea vyema kabisa matatizo hayo, hata hivyo unaweza kunieleza ni hatua gani amechukua kulisughulikia tatizo hili other than Bajajs'?
Mind you madaktari wenyewe ndo wako kwenye mgomo.
 
Mkuu, JK nimegunduwa ni kwanini wamemfanya awe mtembeza bakuli wetu, kweli kayaelezea vyema kabisa matatizo hayo, hata hivyo unaweza kunieleza ni hatua gani amechukua kulisughulikia tatizo hili other than Bajajs'?
Mind you madaktari wenyewe ndo wako kwenye mgomo.
Haya mambo wala hayahitaji madaktari ..... doctors sio lazima waattend birth (recommended tho).
It's all about money, when you have money and loyal technochrats under 5 mortality can be curbed easily. JK hawezi kupewa credits kitaalam kwa kupunguza under 5 mortality, but creating the environment suitable for childbirth.....
Nenda WHO ukaone Data, halafu mfananishe na Mkapa au Mwinyi.
Usipende sana porojo.... penda data!
 
Haya mambo wala hayahitaji madaktari ..... doctors sio lazima waattend birth (recommended tho).
It's all about money, when you have money and loyal technochrats under 5 mortality can be curbed easily. JK hawezi kupewa credits kitaalam kwa kupunguza under 5 mortality, but creating the environment suitable for childbirth.....
Nenda WHO ukaone Data, halafu mfananishe na Mkapa au Mwinyi.
Mkuu hayo matatizo ya maternity na mortality ni indicators, i bet you know za nini.

Kuhusu madokta, nimezungumzia tu an overall failure within our health care department.

Na tatizo la martenal, ni tatizo alilolizungumzia kuwa lilikuwepo toka azaliwe, na akasema kuwa alizaliwa hivyo bila mzazi wake kupelekwa hospitali, na hata baadaye amekuwa na afya na hata kuwa rais wa nchi, so in some ways anaona ni utamaduni, na alichoongezea yeye ni Bajaji.

Again kama ulivyosema, bottomline ni fund allocation, priorities, yani he neither walk the walk , or talk the talk, ndo maana nikakuuliza ni hatua gani alichukua zaidi ya hizo bajaji?
 
Mkuu hayo matatizo ya maternity na mortality ni indicators, i bet you know za nini.

Kuhusu madokta, nimezugumzia tu an overall failure within our health care department, ni tatizo alilolizungumzia kuwa ni toka azaliwe, na akasema kuwa alizaliwa hivyo na hata baadaye amekuwa rais wa nchi, so in some ways anaona ni utamaduni, na alichoongezea yeye ni Bajaji.

Again kama ulivyosema, bottomline ni fund allocation, priorities, yani he does not walk the talk, ndo maana nikakuuliza ni hatua gani alichukua zaidi ya hizo bajaji?
Per capita expenditure in Healthcare,
4.1$ in 2000
12$ in 2009.
 
Japo mara nyingi amkekuwa akitaja mafanikio katika kupunguza vifo vya akina mama ,mimi huwa niko optimistic na fact kwamba, kupungua kwa vifo hivi yaweza kutokana na:
  • Poor reporting ya watumishi wa afya waliochoka na maisha, hivyo documentation ya matukio ya vifo ikapungua
  • Hapo hapo kwenye documentation kuna makaripio kwa wafanya kazi wa labour ward ambao wanaogopa kuonyesha takwimu mbaya wasiji kukaripiwa na ma 'bosi' wa wizara
  • Ubavu wa huduma umefanya wamama wengi kutotumia huduma za hospitalini hasa vijijini na kuendelea kutumia huduma za wakunga wa jadi na kwa kuwa hatuna 'mfumo imara' wa kupata taarifa toka kwa wakunga wa jadi basi hospitali zaonekana kufanya vizuri.
  • Kwa sisi wataalamu wa afya ya Jamii (Public Health Professional) tunaamini kuwa Ili ufanye conclusion kuwa umepata mafanikio ktk afya lazima uangalie vitu vingi, kwamba umesogeza huduma kwa wananchi kwa kupunguza umbali wa kutembea kutafuta huduma (Financial access), pili umepunguza gharama za kupata huduma aidha kwa kupunguza user fee na medical cost au kwa kuwa na mfumo mzuri wa social protection kama vile Bima ya Afya (financial accessibility), Umeongeza watumishi wa afya ,unawalipa vizuri na umeboresha mazingira ya kutendea kazi kwa kuhakikisha vifaa havikosekani. Umeboresha mvumo wa elimu kinga (Preventive education) na kuwawezesha wananchi kuwa na Health Literacy. Kubwa zaidi umeboresho mifumo ya ukusanyaji taarifa iwe ni surveillance system au register nzuri zinazojazwa kitaalamu kwa ukamilifu (Siyo Labour register au MTUHA ambazo ujazaji wake ni wa kusua sua) Mambo yote haya hayapo katika huduma za afya , hivyo kusema vifo vya akina mama vimepungua hizi ni POLITICAL Data!
 
Per capita expenditure in Healthcare,
4.1$ in 2000
12$ in 2009.
Fuatilia kama hujakuta hilo ongezeko limeenda kwenye uzalishaji wa neti za mbu, zile za Bush? Bajajs? Maana pia unaweza kuta ongezeko kubwa ni lets say btn 2006-2009, that only might account for the 90% of the increments.

Unaweza kuniambia specifically ni kiasi gani kwenye hilo ongezeko kimekuwa allocated towards solving the child mortality and maternal issues?
 
Fuatilia kama hujakuta hilo ongezeko limeenda kwenye uzalishaji wa neti za mbu, zile za Bush? Bajajs? Maana pia unaweza kuta ongezeko kubwa ni lets say btn 2006-2009, that only might account for the 90% of the increments.

Unaweza kuniambia specifically ni kiasi gani kwenye hilo ongezeko kimekuwa allocated towards solving the child mortality and maternal issues?
Kwanza kabisa utakuwa very biased kama utarelate ongezeko na vyandarua pekee... why are you so biased?
Why can't you relate healthcare budget with overall health of a nation?.... why cherry picking? Geez!!!, stop hatin" brah.

External funds in healthcare:
116.3 (tshs billion) in 2004/5
116.3 in 2005/6.
115.2 in 2006/7
219.5 in 2007/8.....

Health sector total

312.0 and 412.0 respectively in 2004/5 and 2005/6.
487.0 and 628.0 respectively in 2006/7 and 2007/8......
Kwa hiyo minus the external funds uone bajeti imekua au imepungua.

Masanja et al (2008).... amebainisha kuwa kuna factors relating to Healthcare per se and factors ambazo zipo indirect.
Major direct factor iliyosaidia kupungua kwa vifo ni Health sector budget.
Major indirect ni Decentralisation....Money transferred to LGAs (for healthcare) during JK era increased three-fold compared to Mkapa's na 5- fold compared to mwinyi.
http://www.odi.org.uk/resources/docs/6403.pdf

Soma acha uvivu utakuwa unajichora tu kama wenzio.
 
Kwanza kabisa utakuwa very biased kama utarelate ongezeko na vyandarua pekee... why are you so biased?
Why can't you relate healthcare budget with overall health of a nation?.... why cherry picking? Geez!!!, stop hatin" brah.

External funds in healthcare:
116.3 (tshs billion) in 2004/5
116.3 in 2005/6.
115.2 in 2006/7
219.5 in 2007/8.....

Health sector total

312.0 and 412.0 respectively in 2004/5 and 2005/6.
487.0 and 628.0 respectively in 2006/7 and 2007/8......
Kwa hiyo minus the external funds uone bajeti imekua au imepungua.

Masanja et al (2008).... amebainisha kuwa kuna factors relating to Healthcare per se and factors ambazo zipo indirect.
Major direct factor iliyosaidia kupungua kwa vifo ni Health sector budget.
Major indirect ni Decentralisation....Money transferred to LGAs during JK era increased three-fold compared to Mkapa's na 5- fold compared to mwinyi.
http://www.odi.org.uk/resources/docs/6403.pdf

Soma acha uvivu utakuwa unajichora tu kama wenzio.
I am not hating, ndo mijadala ilivyo hapa JF nilidhani we si mgeni anymore.

Speculation yangu ilikuwa based on the fact that umenipa namba tu na kusema ni ongezeko, that does not mean anything, at least umeenda kupekeua na kuja na huyo Masanja na wenzake, na sasa unasema ongezeko hilo liko attributed towards ulichokiita "kupungua kwa vifo in health sector budget", bila hata ya kusema specifically kama ziliekezwa kwenye child mortality na maternal issues!

Ukiwa na some info, usi assume kuwa kila mtu anazo, ndo maana ya forum...Sasa ulitakiwa unijulishe kama hivyo vifo vilivyopunguwa ni vya under 5 child mortality na martenal issues.

Halafu mwenye kujichora ndo nani? Hivi nyie wenye wenye majina feki mnaogopa kujichora kwa nani mwenye kuwafahamu?
 
I am not hating, ndo mijadala ilivyo hapa JF nilidhani we si mgeni anymore.




Speculation yangu ilikuwa based on the fact that umenipa namba tu na kusema ni ongezeko, that does not mean anything, at least umeenda kupekeua na kuja na huyo Masanja na wenzake, na sasa unasema ongezeko hilo liko attributed towards ulichokiita "kupungua kwa vifo in health sector budget", bila hata ya kusema specifically kama ziliekezwa kwenye child mortality na maternal issues!

Halafu mwenye kujichora ndo nani? Hivi nyie wenye wenye majina feki mnaogopa kujichora kwa nani mwenye kuwafahamu?
Tehe tee!, haya bwana......
Ni kudra tu za mwenyezi mungu ndiyo zilizofanya mortality ipungue...
Au labda hizo data zimetengenezwa tu kuwadanganya watu.

 
SOBY, zingatia pia anachosema bosi wako usikurupuke tu...Ofcourse anzia hapa, kuwa analijuwa tatizo na kwamba hatua ni ndogo tunazopiga TZ.

Una uhakika Mh Rais asingemention hayo unayoyasema kwenye posti yako kuhusu kwamba ameongeza pesa zilizopunguza hivyo vifo kama yangekuwa kweli? Alisema vifo vimepunguwa globally lakini si Tz, ama unasomaje wewe?

Though global maternal deaths are in decline and women's health has at last become a global priority, our goal of reducing maternal mortality by 75% in 2015 is still a long way off. Women and children are still dying needlessly.
Nilisema ameelezea vizuri hili tatizo, na pia inaonekana anajuwa solutions....

We must continue to invest in training for doctors, nurses, facilities, and increased health proficiency and demand more of ourselves than ever before.
So bottomline tunarudi all the way to the beggining, is he walking the walk and talking the talk?
 
SOBY, zingatia pia anachosema bosi wako usikurupuke tu...Ofcourse anzia hapa, kuwa analijuwa tatizo na kwamba hatua ni ndogo tunazopiga TZ.

Una uhakika Mh Rais asingemention hayo unayoyasema kwenye posti yako kuhusu kwamba ameongeza pesa zilizopunguza hivyo vifo kama yangekuwa kweli? Alisema vifo vimepunguwa globally lakini si Tz, ama unasomaje wewe?

Nilisema ameelezea vizuri hili tatizo, na pia inaonekana anajuwa solutions....

So bottomline tunarudi all the way to the beggining, is he walking the walk and talking the talk?
Soma heading ya hii topic...
Kwamba anajishtaki, kwa kipi?
He is definately walking the walk ..... Regionally anaongoza kwenye health sector (Including SADC, excluding RSA).
Saying that he is not doing enough, is debatable depending on what is enough. But amewapiga chini waliopita, ukimuondoa baba wa Taifa (Someone I'm just obsessed with, regardless).
 
Opinion

Health is Tanzania’s priority
Publish Date: Jan 31, 2012


By Jakaya Kikwete

  • 43 million more users with access to comprehensive family planning;

  • 19 million more women giving birth supported by a skilled health worker, with the necessary infrastructure, drugs, equipment and regulations;

  • two million more neonatal infections treated;

  • 22 million more infants exclusively breastfed for the first six months of life;

  • 15 million more children fully immunised in their first year of life;

  • 117 million more children under five receiving vitamin A supplements; and,

  • 85,000 more quality health facilities and up to 3.5 million more health workers available.
The writer is Tanzania's President
Source: Global Health and Diplomacy Magazine

where are these figures come from?
 
Radhia et al,


2. Poor planning and luck of priority/empathy: Inaonyesha kwa miaka mingi kumekuwa hakuna usafiri wala pesa za kununulia magari ya kupeleka wagonjwa/wamama wajawazito hospitali lakini ukifika Tanzania hasa DSM utaona 60% of SUV/4WD are government owned. Amekuwa president tokea 2005 kama kiongozi aliyeguswa na ile incident kama anavyotaka tumuamini kwanini hakutoa ambulances kwa kila Wilaya lakini mpaka 2010 kwenye kampeni JK alitoa "ahadi" ya kutoa BAJAJI/AMBULANCE ZA KUBEBEA wagonjwa na wamama wajawazito. Radhia ukiwa mjamzito utakubali kupanda Bajaji kama Ambulance?


Nakaribisha kukosolewa, kazi njema.

Gogomoka.

Si walinunua Land Cruiser (Mkonga) kila wilaya na Mkoa?
CCM ina hela Kupita SEREKALI.
Hili lipo wazi ukiona WATU/TAASISI zinahela kupita SEREKALI, jua KODI haikusanywi na RUSHWA/UFISADI VIMESHAMIRI
 
Hiyo sera mbadala na watu mbadala ingejitokeza (manifests) hata kwenye tatizo hili..

Madaktari wanawategemea sera za serikali na watu wa serikalini...(yaleyale)

Kwanini wasianzishe hospitali zao binafsi (waungane) waache kuomba omba serikalini..same culture you are trying to blame

leo umenimaliza ndugu yangu. Madaktari hawaombi ombi. Wanadai haki yao na ni jukumu la serikali kuhakikisha watu wake wanakuwa na afya njema kwa kuwa wanalipa kodi. Japo zinatumika ovyo.
 
JK should walk his talk! What I hate about JK is his sweet talk but does nothing about it. The Tanzanians have known him and the international community is gradually discovering him. Just imagine a few years ago, how he used to be highly regarded in almost in all international forums he attended... but now...nobody cares about him. Frankly, JK is a big disappointment; in any egalitarian society he would gracefully bow out even before his second tenure ends or his party would have recalled him. Sad that we do not have this culture!

It have been his mode of operation, to talk what he doesn’t mean to do and doing what he doesn’t talk about. For example, hakuna mwanafunzi atakayefukuzwa chuo kwa kukosa mkopo, Serikali yangu haina ubia etc. Angalia yanayoendelea mf. Nispoweka saini kwenye huu muswada wenzangu kwenye chama hawatanielewa!
 
thats why I said it; sikuwaandikia Waingereza. Kwamba aliyoyasema hapo ingekuwa ni "self incrimination". Fikiria mtu anaitwa kuelezea kwanini watoto wamekutwa wamekufa kwa kuangukiwa na ukuta wa nyumba yake. Halafu anaanza kuelezea "Unajua nyumba yangu nilipoijenga kwa kweli sikuwa nimetumia udongo mzuri na mchanganyo wa sementi na mchanga kwa kweli haukuwa mzuri. Mtu niliyemuajiri kuangalia ujenzi wa nyumba sikuwa nimemfanyia uchunguzi wa kutosha. Hata hivyo wakati nyumba imeanza kuonesha nyufa nilijaribu kuegesha miti ili isidondoke. Lakini wakati nilipokuwa najiandaa kufanyia matengenezo nikajikuta nimepata mke mwingine kwa hiyo gharama za harusi zikanifanya nichelewe kufanyia matengenezo". Watu ambao watakuwa wamemsikiliza watajua mara moja anachokifanya japo yeye mwenyewe alitaka aonewe huruma!
Maudhui ya makala yamesomeka vizuri kwa walengwa! That is the main point.
 
After paying a cursory view on the article, I failed to find any problem when a country's president explains to the world about the hardships facing his people regarding health issues. He has made a graphic presentation of the scale of Malaria and poor health services which are the major culprits responsible for millions of avoidable deaths across the developing world. Despite my pessimism about his ability as the president, I would this time hand him credit for this kind of presentation.

Radhia, better that you have fronted your point with a "After Payinga cursory view" cap.
I hope you come back and pay a critical view. I have played my part, and have ready the
first paragraph only, but well critically and disapprove the whole writing of MR President.

For example, He is comparing the US and Tanzania, "It is not not like the US where giving
birth at home is a matter of choice". Does this make sense? This is comparison worth to be
given by a secondary school student and not the president at all.

Second, He writes "I was born under the hand of a traditional birth attendant and I grew up
healthy and strong to become the President of my country" Question: Is Mr President Healthy
and strong? Ndio maana nakubaliana na mtu mmoja kauliza kama hii makala ameiandika mwenyewe,
Trust me, Kama angeandika mwenyewe asingeweka revelation ya namna hii. Sababu anajua
vizuri kwamba we all know He is very sick.

Ukienda Paragraph ya pili unakutana na porojo tena, "Once, when I was a Member of Parliament,
I was visiting a village out in the countryside when I witnessed firsthand" Labda kama uhelewa
wangu ni mdogo, lakini sitegemei mtu mwenye akili timamu anaweza kukubaliana na maelezo haya
kwamba, Mara ya kwanza Jakaya ameona mgonjwa amebebwa kwenye Baiskeli ni wakati wowote
ule akiwa kama Mbunge. Big Lie, Uongo Uongo, Hapa Dar es Salaam, mpaka sasa wagonjwa wanapakiwa
kwenye Baiskeli mpaka kesho, Au anataka kutuambia kwamba na yeye amekulia amerika, Hapo msata
na bagamoyo, mpaka kesho wagonjwa wanabebwa kwenye machela na kutembezwa kilometer nyingi
tu kabla ya kufika kwa waganga wa kienyeji, Radhia, unausoma uongo wote huu na bado unasema
"I would this time hand him credit for this kind of presentation." Haishii hapo, anakwenda some paragraphs
mbele anasema "This story reminds me..." Give me a brake, Kwamba ni story hii ndio humkumbusha
matatizo wanayowapata wananchi, story hii peke yake ndio inamkumbusha Jakaya Kero za huduma za
afya nchini mwetu.

Well, suppose it is true, Jakaya hajui kwamba katika taifa lini kuna mamilioni ya watanzania hawana japo
fursa ya kufikiria kumpeleka ama kutompleka mgonjwa hospitali sababu they do not have an idea of
where the hospital could be in the radius of more than 50Kilometre, before he give a story of my
country men who knew exactly where they were going to get the health services.

Naomba Idara ya mawasiliano Ikuli watoe taarifa yao juu ya makala hii. Sidhani kama Jakaya amewahi
kuandika hivi.
 
Na wakati huo huo, kama kuna sera ambayo inanuia kuboresha afya na wabunge pamoja na mawaziri wameikubali, basi utekelezaji wake utakuwa mbovu aidha kutokana na wizi (through procurement), au upungufu wa fedha. Kama tatizo ni wizi na ufisadi, ni lazima medical officers wawajibishwe kwa sababu hivi vitu vinakuwa audited.
Kama tatizo ni fedha, basi tuchangie kodi au tutembeze kibakuli ..... si rahisi kwa rais kumwajibisha mganga mkuu wa wilaya kama fedha hamna, na si busara kumlaumu rais kama fedha hamna....
The best way is to either improvise or come up with a fat pocket.


inasikitisha sana kuona mtu kama ww unakuwa na upeo mdogo kama huu, fedha hamna? au mis allocations of funds? sasa wakati umefika serikali kuendeshwa kama kampuni. kuna pesa nyingi sana ya serikali inachezewa na watu kwa kisingizio cha posho na masafari ya nje yasiyokuwa na tija.

nikiwa mimi kikwete leo, nafuta magari yote ya serikali v8 na badala yake wizara zitumie escudo new model na rav4 except for prime minister na president, then watumishi wote wa serikali walipwe mishahara tu kama midogo nitaiadjust

watumishi wachukue mikopo kutokana na mishahara yao kukopa hayo ma v8 wakitaka, nafuta safari zote za diplomats kutumia business class na first class wapande economy! mbona wakitoka serikalini wanapanda na sisi economy jamani?

nafuta wakuu wa wilaya wote anabaki DED tu!
nauza nyumba zote za serikali kwa market price! except za mawaziri, wakuu wa mikoa, ded, ili hao wafanyakazi wakapange kutoka kwenye mshahara wao

la kumalizia nambana mtu wa chini yangu na yeye ambane mtu wa chini yake hivyo hivyo mpaka kwenye glass root ndio njia pekee ya kuchange regime na kufanya watu wawajibike

Nakusanya kodi kikamilifu na kuweka mfumo wa kutokwepa kulipa kodi

hiyo fedha baada ya kubana matumizi naiallocate kwenye afya, shule, na infrastructure! na si kujenga mult-function hall
 
Back
Top Bottom