hawajui wanaloteda kwa hiyo tuwape adhabu uchanguzi ujaoNi masikitiko makubwa kuona watu wanaoapa kulinda haki za mwananchi wanakuwa Mabubuzela wakati haki ya msingi ya binadamu inavunjwa. Ubabe wa mitulinga hausaidii yeyote bali unaogeza maumivu kwenye kidonda.Ni lini hao waheshimiwa kama wanavyotaka kuitwa watakuwa waheshimiwa wa dhati? Serikali ni mkataba kati ya watawala na watawaliwa,ikifika wakati watawaliwa wakahoji serikali kama haikidhi mahitaji wana haki ya kupata majibu sahihi.Ila kama watawala wameshindwa kujua nani aliewaandika kazi ,ni huyo mlalamikaji yaani mwananchi.