Makala 10 za Pauline zinazonitia wazimu..............

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Baada ya Pauline kupotea kwenye hili jukwaa nimeamua kupitia makala zake 10 ambazo nimependezwa nazo kwa dhati..............................sijui ninyi ni zipi mlizipenda.................Here is my Pauline top TEN posts.............enjoy yourself...........

1) Hivi mie ni lesbian?

2) Wanawake .....tuanzishe mgomo loh..

3) Mie ninahisi tu

4) Ninatamani

5) Na mie nimetamani

6) kwa wadada tu

7) Angalizo tunapochagua

8) Wakaka wa JF

9) Majamboz on-line

10) Na nyie mmalizie hapo au hata badilisheni nilizoziweka hapo juu

She is a big talent..............it is time we pay tribute to one of our own................

Well Pauline wherever you are..... you should know you have given me personally so much joy..................please come back and dish out more........
 
PHP:
Haya mambo ya kusifiana my shem si hapa peleka chit chat samahani km nimekuudhi..

Hupendii mwenzio akisifiwa...........kumbe leo nimethibitsha ya kuwa akina dada hampendani.........................ninachosifia ni uandishi wake uliomo humu jamvini na nimeorodhesha makala zake sasa ziende wapi tena...................................samahani sana kama nimekukwaza........
 
<br />
<br />
Ungejua sina wivu shem? Hapa ndo mahala pake umeona imehamishwa?
 
Asante Ruta kwa kupenda mada zangu...
nilikuja kwa kasi,nimeona nitulie nisome mazingira kwanza lol
hata mimi unanikuna na mada zako hasa ile ya' bakora za wadada walioolewa' bado imenikaa
stay blessed:smile-big:
 
Mimi nilimiss tabasamu lako,usipotee smily.
 
HTML:
Ungejua sina wivu shem? Hapa ndo mahala pake umeona imehamishwa?

I really like you......you have a way of being critical but without losing a friend.............
 
HTML:
Ungejua sina wivu shem? Hapa ndo mahala pake umeona imehamishwa?

she is a highly gifted gal..............................I ought to confess.................
 
HTML:
Asante Ruta kwa kupenda mada zangu...
nilikuja kwa kasi,nimeona nitulie nisome mazingira kwanza lol
hata mimi unanikuna na mada zako hasa ile ya' bakora za wadada walioolewa' bado imenikaa
stay blessed:smile-big:
Umenikumbusha mbali sana...........acha kuzembea hata kama wako wanaokutupia madongo usijali...............nipo kukutia moyo uendelee kuchangamsha jukwaa hili kwa ubunifu mkubwa ulionao...................

You are a salacious yet introspective raconteur...................I love your artistic vision......................to be more precise..................keep the electricity in the air..............ALWAYS............no matter what...............
 
Ruta acha kuuma uma maneno haya mambo ya kwenda Arusha kupitia Singida na upo Chalinze mhh!
 
thanks Ruta,utaniona tena ngoja nijipange niwe mshiriki kikamilifu.......:israel:
 
Code:
Ruta acha kuuma uma maneno haya mambo ya kwenda Arusha kupitia Singida na upo Chalinze mhh!

Acha fujo Uporoto...................
 
Code:
hahah Uporoto,whats wrong with kuchanja mbuga if you have time ?lol:happy:

Ni kweli mpe vidonge vyake vikimshinda atavitapika...........................lol
 
Baada ya Pauline kupotea kwenye hili jukwaa nimeamua kupitia makala zake 10 ambazo nimependezwa nazo kwa dhati..............................sijui ninyi ni zipi mlizipenda.................Here is my Pauline top TEN posts.............enjoy yourself...........

1) Hivi mie ni lesbian?
...............................

Kumbe ndo tunatakiwa tuanze hivi ngoja na mm nitajaribu hope mlengwa hataiona hii mada...... Mwaka sasa najiuliza nimuanzeje .

Thanks Pauline and Ruta teh teh teh
 
hahah Uporoto,whats wrong with kuchanja mbuga if you have time ?lol:happy:
sawa kama mhusika mwenyewe umeridhika lol! lakini mwisho wa siku unaelewa hii sinema inaelekea wapi ? hahaha ! mi naomba uwe unapost hata mara moja kwa siku nilione tu hilo 'genuine smile'.
 
Code:
Kumbe ndo tunatakiwa tuanze hivi ngoja na  mm nitajaribu hope mlengwa hataiona hii mada...... Mwaka  sasa najiuliza nimuanzeje .
 
Thanks Pauline and Ruta teh teh teh

Well, the trouble is copycats rarely learns..........................
 
Code:
sawa kama mhusika mwenyewe umeridhika lol! lakini mwisho wa siku  unaelewa hii sinema inaelekea wapi ? hahaha ! mi naomba uwe unapost hata  mara moja kwa siku nilione tu hilo 'genuine smile'.

Jamani Uporoto kitanda usicholala kunguni wake wakuwashiani?
 
Naomba kwanza nikuite Ruta naogopa nikisema lote naweza jing'ata, usiwe na wasiwasi na mimi Pauline ni rafiki wa kawaida am not the competition lol!
 
Back
Top Bottom