Makaka zetu mkioa msisahau ndugu zenu...

Anita Baby

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
1,265
539
Inasikitisha sana kaka anaoa af anakua hatak hata kuckia ndugu zake may be awe na shida zake ndo anaanza kuwatafuta. Mwingne anadiriki kutamka ndugu yangu ni mke wangu 2! It real pain.
 
pole sana anitha...
Kumbuka kaka yako akioa anajenga familia yake.....
sina maana kuwa asisaidie kwao la hasha, ila jua msaada utapungua kwa kiasi kikubwa, na majukumu yanaongezeka.....

Usitegemee kusaidiwa kama alivyokuwa single.... Ingawa anapodai mkewe ndo ndugu yake pekee anakosea....

Na kwa bahati mbaya wanaume huwa wazito kusaidiz kwako, ila mtoto wa kike hata akiolewa lazima kwao atasaidia........

Hivyo Msichoke kumkumbusha kaka yenu kuwa msaada wake ni muhimu na bado unahitajika
 
co kwamba nahitaji msaada wake. Ukimthamin ndug yk na kumpenda inatosha kuliko ki2 chochote. Ukiwadharau ndug zako unadhan mkeo atawaheshim? Kila m2 ana nafas yake ktk maisha yako. Ss ukisema mkeo ndo ndugu yk peke ake how ua mom wil fil? Cha kushangaza akitingwa anaanza kuomba hela kwa wadogo zake.. Nashndwa kuelewa nimuweke ktk kund gan? Au 2ish nae vp?
 
Inasikitisha sana kaka anaoa af anakua hatak hata kuckia ndugu zake may be awe na shida zake ndo anaanza kuwatafuta. Mwingne anadiriki kutamka ndugu yangu ni mke wangu 2! It real pain.

Enhee. vipi kina dada nao wakiolewa wasahau au wasisahau ndugu zao?
 
Si vizuri kuwasahau Ndugu kabisa. Ingawa kuna Wengine wanaboa sana.. Wakiona unavijisenti hawakatishi siku kila siku Hodi haziishi.
 
co kwamba nahitaji msaada wake. Ukimthamin ndug yk na kumpenda inatosha kuliko ki2 chochote. Ukiwadharau ndug zako unadhan mkeo atawaheshim? Kila m2 ana nafas yake ktk maisha yako. Ss ukisema mkeo ndo ndugu yk peke ake how ua mom wil fil? Cha kushangaza akitingwa anaanza kuomba hela kwa wadogo zake.. Nashndwa kuelewa nimuweke ktk kund gan? Au 2ish nae vp?

mlishamwita kwenye vikao vyenu mkaongea nae?
Aliwajibu pumba?
Na anapokuja kuomba msaada mnampa?
 
Kuna utamu flani ukisha kula kwa mwanamke unasahau ndugu zako :biggrin:
 
Inasikitisha sana kaka anaoa af anakua hatak hata kuckia ndugu zake may be awe na shida zake ndo anaanza kuwatafuta. Mwingne anadiriki kutamka ndugu yangu ni mke wangu 2! It real pain.

Maisha ya Kimasikini hayo Anita, asisahau ndugu kivipi? au unaishi kwa kutegemea Kaka akusaidie katika kila jambo hata baaada ya yeye kuoa?

Labda na ninyi akina dada mkiolelewa muwe nawakumbusha wale waliowaoa wasisahau ndugu zao.. KUMBUKA: Ukimtegemea sana nduguyo mpaka wakati ambapo nae anahitaji kuijenga familia yake, unamsababishia umaskini na utakufa masikini kwani utakuwa chanzo cha kuvuruga nyumba yake. Hakuna aliyezaliwa ili kumsaidia mwenzie isipokuwa mzazi tu ambae anawajibu wa kumsaidia yule aliyemltea duniani (Mtoto) kwa ndugu akikusaidia ni mapenzi yake usimtwishe mzigo Kaka yako ukasahau nae ana familia yake ambayo akikuachia uisaidie huwezi kufanya hivyo kwani nawe utadai una majukumu mengine...

KAKA ZENU WANAOA WANAWAKE WENZENU, ACHENI GUBU!!
 
hop hujanielewa ndg yng ctegemei msaada wa pesa kwake, nipo kwangu nna maisha yang.
 
Maisha ya Kimasikini hayo Anita, asisahau ndugu kivipi? au unaishi kwa kutegemea Kaka akusaidie katika kila jambo hata baaada ya yeye kuoa?

Labda na ninyi akina dada mkiolelewa muwe nawakumbusha wale waliowaoa wasisahau ndugu zao.. KUMBUKA: Ukimtegemea sana nduguyo mpaka wakati ambapo nae anahitaji kuijenga familia yake, unamsababishia umaskini na utakufa masikini kwani utakuwa chanzo cha kuvuruga nyumba yake. Hakuna aliyezaliwa ili kumsaidia mwenzie isipokuwa mzazi tu ambae anawajibu wa kumsaidia yule aliyemltea duniani (Mtoto) kwa ndugu akikusaidia ni mapenzi yake usimtwishe mzigo Kaka yako ukasahau nae ana familia yake ambayo akikuachia uisaidie huwezi kufanya hivyo kwani nawe utadai una majukumu mengine...

KAKA ZENU WANAOA WANAWAKE WENZENU, ACHENI GUBU!!

hop hujanielewa ndg yang, sihitaj msaada wa wa pesa kwake nipo kwangu najitegemea na nna pesa zangu. Cna gubu na wif ang i respect her as my cc inlaw.
 
mlishamwita kwenye vikao vyenu mkaongea nae?
Aliwajibu pumba?
Na anapokuja kuomba msaada mnampa?

cwez nikamnyima msaada coz ni ndug yangu. Smtyms unaweza ukasema ucmpe bt he z my brother roho ya huruma inakuja automatically
 
kama roho ya huruma inakuingia usilalamike......

Hujui sometime people need to learn the hard way.................ili akili yake ishtuke na kujua akifanyacho si sahihi na kurudi kwenye mstari?
 
Ingawa undugu wa mke unaweza kwisha lakini hii haiondoi ukweli kuwa hakuna ndugu yako wa karibu na muhimu katka maisha yako kama mkeo
Ni mkeo peke yake anaweza kufanya kila kitu na wewe
 
wanamme wengi wakioa hawakumbuki kwao.

Jawabu huwa ni kuwatoa tu kwenye mahesabu, wanawake waliopo wanatunza wazazi na kuendeleza nyumbani.

Mkitegemea kaka zenu, siku moja mtaaibika.

proved sayantifikali.
 
Shosti kaka yako au ndugu yako yoyote alokua anafamilia yake usiumize kichwa kua lazima akusaidie kumbuka kua na yeye pia ana mashaka yake sio kwa sababu anakaa mjini au yuko njee ya nchi ndio anazo au anafuraha na mkewe ukajua anazo,
mie aunty yangu alimuachisha mwanae wakiume na mkewe kwa maneno kila mara oooh mkeo haniheshimu anajifanya ndio kila kitu maneno yamezidi mke akaachana na mumewe,wakajua sasa wamepata fursa yakula vyamwanawe akamuoza mwanawe mtoto wa dada yake basi sasa anavyofanyiwa visa anamkumbuka yule wa mwanzo....
 
wanamme wengi wakioa hawakumbuki kwao.

Jawabu huwa ni kuwatoa tu kwenye mahesabu, wanawake waliopo wanatunza wazazi na kuendeleza nyumbani.

Mkitegemea kaka zenu, siku moja mtaaibika.

proved sayantifikali.

Ni kweli kabisa lkn reason ni ndogo tu, wanawake wakiolewa wazuri wakuiweka familia (maana watoto na mume na yeye) karibu na kwao na kumsahulisha mwanume kwao, mwanume utajiona unapendwa na familia ya mke kumbe ni malengo mahususi.
 
mawifi+mama mkwe=> brain concussion!

kabisa mkuu,hawa watu huwa hawajui mtu ukioa unabadilika katika baadhi ya vitu kwani mara nyingi mwanaume anakuwa na focus zaidi ktk familia yake aliyoianzisha.
 
Back
Top Bottom