Makahaba huzinusuru ndoa zenu!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
Hapa nazungumzia zile ndoa zenye vurugu, maana naona Wa-Beijing wanataka kunishukia kama Mwewe awindapo vifaranga.

Kwa wale wanawake wanaoishi kwenye zile ndoa zenye vurugu zisizoisha, ambapo tendo la ndoa halifanyiki au hufanyika kwa nadra sana, na kwa njia ya ukimaliza funika, msidhani uwepo wa ndoa hiyo kama itaendelea kuwepo, unatokana na kuvumiliana kama mlivyoaminishwa na jamii……….. Maana kuna ndoa zenye vurugu kweli kweli, lakini wahusika wanashindwa kuivunja ndoa hiyo kutokana na sababu mbalimbali, kama sio watoto, basi Dini itakuwa ni sababu kubwa au kukomoana, kitu ambacho kwangu mimi naona ni ujinga tu.

Kwa wanaume wengi wanaoishi kwenye ndoa za aina hiyo, humalizia ashiki zao kwa Makahaba! Kwa kumalizia ashiki zao huko huamini kabisa kwamba itakuwa ngumu kufumaniwa na`wenzi wao, kwa sababu biashara ya ukahaba ni ya nipe ni nikupe na hakuna kujuana.

Kama wewe unadhani unamkomoa mumeo, basi mwenzio anakucheka kwa kijino pembe, kwani ashamaliza hamu yake huko atokako, anajua akifika nyumbani anajilalia zake.

Hebu fikiria, hivi kama makahaba wasingekuwepo, ndoa nyingi zilizo na vurugu zingekalika?……….. Mimi naamini zisingekalika na hata kuuana kungeongezeka. Nyie wenyewe ni mashahidi wa mauaji mengi yanayotokea huko vijijini na sababu kubwa inayotajwa ni ya wanandoa kunyimana unyumba. Na kutokana na ukosefu wa makahaba huko vijijini ukilinganisha na mijini, ndio sababu hali hiyo hutokea…………….
 
Ni fikra zako potofu tu, si kila mtu anajipooza kwa kahaba! Wengine mabeki tatu, wake za wenzao, masekretary,watoto wa wenzao n.k. Kama we unapenda makahaba usidhani Ni kila mtu.
 
Mimi humalizia kwa house girl wangu yani niki mdrop tu wife wangu kazini kwake naenda kuripoti chap then narudi home faster kama kipanga nakamua vizurii!hadi raha jioni namcheki tu wife na minuno yake isiyokuwa na kichwa wala miguu kwa chati nikiwa mwepesiii!
 
Ni fikra zako potofu tu, si kila mtu anajipooza kwa kahaba! Wengine mabeki tatu, wake za wenzao, masekretary,watoto wa wenzao n.k. Kama we unapenda makahaba usidhani Ni kila mtu.

inaonekana wewe ni mzoefu kweli..................!!!!!
 
Nilikuwa sijui ndugu yangu.

Nje ya mada: hujanipa feedback ya ile isue yetu!

Imekuwa ni vizuri umejua................

Nje ya mada: Naona nishaanza kuzeeka sasa, hebu ni PM unikumbushe...............
 
Mimi humalizia kwa house girl wangu yani niki mdrop tu wife wangu kazini kwake naenda kuripoti chap then narudi home faster kama kipanga nakamua vizurii!hadi raha jioni namcheki tu wife na minuno yake isiyokuwa na kichwa wala miguu kwa chati nikiwa mwepesiii!

Wewe kweli ni Kiboko..................
 
Mimi humalizia kwa house girl wangu yani niki mdrop tu wife wangu kazini kwake naenda kuripoti chap then narudi home faster kama kipanga nakamua vizurii!hadi raha jioni namcheki tu wife na minuno yake isiyokuwa na kichwa wala miguu kwa chati nikiwa mwepesiii!
Umenikera sio siri.....
 
Baba bwana, na kwa wanawake tusemeje? Mashamba boy au kuna makahaba wa kiume??

Sikubishii kwa hili Baba yangu hasa ukijumlisha na ile Structural Functionalism theory inayozungumzia Prostitution...............! Najiuliza tu kwa nguvu upande wa wake hao ambao waume zao wanapumzikia kwa makahaba, wao je wanapumzikia wapi? au wao hawashikwi na kiu??!
 
Imekuwa ni vizuri umejua................

Nje ya mada: Naona nishaanza kuzeeka sasa, hebu ni PM unikumbushe...............
Nimejua na nitalifanyia kazi.

Nje ya mada: kweli ushaanza kuzeeka mkuu nitakuPM kukukumbusha ila itabidi unilipe asee lol.
 
Hahaha pole sweetlady ndo muache kununa bila sababu yani mtu kupewa vitu inakuwa kama unaanza kumtongoza mwali?
 
@MJ1......... Ahsante mwanangu kwa kukubaliana na mimi, maana nilikuwa nasubiri changamoto yako kwa shauku kweli................Kuhusu upande wa wanawake labda mnisaidie kujibu, maana mie nilidadavua upande wa wanaume tu..............
 
Ni fikra zako potofu tu, si kila mtu anajipooza kwa kahaba! Wengine mabeki tatu, wake za wenzao, masekretary,watoto wa wenzao n.k. Kama we unapenda makahaba usidhani Ni kila mtu.

Wote hapo (waume kwa wake) pia ni makahaba kwa muda huo unapojipoooza nao, uliza wamegawa/umegawa kwa wangapi na wewe ni wangapi kupewa? Jiulize hili!
 
Hahaha pole sweetlady ndo muache kununa bila sababu yani mtu kupewa vitu inakuwa kama unaanza kumtongoza mwali?
Lol... Siamini kama kuna mtu anaeza kununa bila sababu...sasa wewe badala ya kusuluhisha na wife umeamua kuhamishia majeshi kwa h'gal, mpaka lini sasa? Unafurahia hicho unachokifanya? Za mwizi 40 iko siku utakamatwa! 'Goes around, comes around' mkuu....kuna siku utalipia raha zote kwa kinyume chake!
 
dahhhh, ....hizi posting za siku hizi mara house girls, mara makahaba, mnazidi kutufanya wanaume tuonekane ni viumbe wadhaifu jamani...khaa?

makahaba tena? mie sie mmoja wenu!

Tayari tumeshawaona nyie ni wadhaifu!
 
Back
Top Bottom