Makadirio Mepesi ya bei za vitu 2015 (endapo CCM ikiendelea kutawala)

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,590
2,141
1. MWAKA 2005 sukari 600/=, Mwaka 2010 ni 1800/=, hivyo 2015 itakuwa 5,400/=

2. MWAKA 2005 Mkaa gunia 10,000/=, Mwaka 2010 ni 35,000/=, hivyo 2015 itakuwa 105,000

3. MWAKA 2005 Mchele 600/=, Mwaka 2010 ni 1500, hivyo 2015 itakuwa 4400

4. MWAKA 2005 Kodi vyumba (2) 40,000/=, Mwaka 2010 ni 100,000, hivyo 2015 itakuwa 180,000/=

5. MWAKA 2005 Umeme (unit 110 ) 9,000/= ,Mwaka 2010 ni 24,000, hivyo 2015 itakuwa 60,000/=

Hii inamaanisha gharama za maisha ndani ya MIAKA kumi zitapanda MARA 7 ambayo ni sawa na asilimia 700.

-Huu ni upande wa Gharama za maisha

.
MCHUUZI WA MKAA MJI MDOGO WA MIKUMI, ANJELUS KANJILA MBELE MORO KWENDA RUAHA KILOMBERO PIX NO 11.jpg
 
1. MWAKA 2005 sukari 600/=, Mwaka 2010 ni 1800/=, hivyo 2015 itakuwa 5,400/=

2. MWAKA 2005 Mkaa gunia 10,000/=, Mwaka 2010 ni 35,000/=, hivyo 2015 itakuwa 105,000

3. MWAKA 2005 Mchele 600/=, Mwaka 2010 ni 1500, hivyo 2015 itakuwa 4400

4. MWAKA 2005 Kodi vyumba (2) 40,000/=, Mwaka 2010 ni 100,000, hivyo 2015 itakuwa 180,000/=

5. MWAKA 2005 Umeme (unit 110 ) 9,000/= ,Mwaka 2010 ni 24,000, hivyo 2015 itakuwa 60,000/=

Hii inamaanisha gharama za maisha ndani ya MIAKA kumi zitapanda MARA 7 ambayo ni sawa na asilimia 700.

-Huu ni upande wa Gharama za maisha

Hapo kwenye RED, ninakubaliane nawe kabisa kwani leo 2012, Mchele ni Tsh. 2600 per kg.
Kama gharama zikipanda hivi, na kipato nacho kikapanda huenda machungu yasionekane sana lakin tatizo ni kwamba kipato hakiongezeki kwa kasi inayoendana na mfumuko wa bei, na shilingi nayo inazidi kupungua thamani.
Nadhani mambo haya ni SOMO tosha kwa Watanzania, waliofanya maamuzi potofu mwaka 2010
 
Nakubaliana nawe kwa msingi wa kuwa maisha yamepanda na yatapanda sana ktk utawala wa ccm, na miaka michache baada ya ccm kung'olewa.
 
Namba 4 umeosea mkuu, labda kama vyumba vya Tandale kwa Mtogole.
Mwaka 2005 kodi ya vyumba viwili 40,000
Mwaka 2010 imekua 160,000.
Mwaka 2015 itakua 260,000
 
Mafuta petrol umesahau.

2005 1ltr = 800/=, 2010 1ltr = 1600/= na 2015 itakuwa 4800/=.

Disiel shusha Tshs 100 kwa kila mwaka halafu ujionee balaa.
 
...tuingie barabarani tu kuindoa, maana watafanya fitna tutaongeza viti tu bungeni...kama misri. Cwapendi ccm, nawachukia, kichefuchefu, si wenye familia maisha yamekua magumu, yaani leo hii kula ubwabwa ishu?, ini 7000? Nyama 5000? Maharage ambayo huwa ni mkombozi wa wanyonge juu!! Haya hiyo gesi mtungi wa kilo thelathini 60000 toka ilipoingia imepanda maradufu, nani ataacha kutumia mkaa? Mitungi yenyewe wanajaza nusu, nawachukia CCM, nawachukiaaa, umeme juu...hv wanajivunia nn hawa? Kutengeza barabara? Aghrrr..zina faida gani kama maisha yapo juu hv? Hawaoni? Nauliza hamuoni? Kwa mshahara gani mnaotupatia? Hata dagaa wapo juu? Si dagaa mwanza wala kigoma....nawachukia ccm..dawa yenu inachemka.
 
Hapo kwenye RED, ninakubaliane nawe kabisa kwani leo 2012, Mchele ni Tsh. 2600 per kg.
Kama gharama zikipanda hivi, na kipato nacho kikapanda huenda machungu yasionekane sana lakin tatizo ni kwamba kipato hakiongezeki kwa kasi inayoendana na mfumuko wa bei, na shilingi nayo inazidi kupungua thamani.
Nadhani mambo haya ni SOMO tosha kwa Watanzania, waliofanya maamuzi potofu mwaka 2010

jinsia ya kike walidanganyika na na tabasamu wakati wale wa bush ilikuwa ni tishet,kofia na khanga na ndio cost yake italipwa kwa mtindo huo.
 
Namba 4 umeosea mkuu, labda kama vyumba vya Tandale kwa Mtogole.
Mwaka 2005 kodi ya vyumba viwili 40,000
Mwaka 2010 imekua 160,000.
Mwaka 2015 itakua 260,000
kwani Tanzania ni Daslam pekee? hapo ni wastani tu so upo subjective for some cases.
 
Back
Top Bottom