Makada wa CCM wakimbilia chadema , Arumeru mashariki

GIB

JF-Expert Member
Mar 2, 2012
336
92
Mbowe amewapokea wanachama wapya zaidi ya 85 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwemo Wenyeviti wa Kitongoji cha Mulala na Katibu wa Vijana tawi la CCM Mulala.

SOURCE : NIPASHE YA LEO
 
CCM wanaomba kampeni iishe maana kila kukicha ngome inazidi kupigwa.
 
Mbowe amewapokea wanachama wapya zaidi ya 85 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwemo Wenyeviti wa Kitongoji cha Mulala na Katibu wa Vijana tawi la CCM Mulala.

SOURCE : NIPASHE YA LEO
Hicho kitongoji kina wenyeviti wangapi?
 
Wawili wewe na huyo mwingine unayemjua ...........gamba

acha naye huyo mkuu nathani atakuwa ni fisadi fulani, mtu mwenye akili timamu huwezi kuifurahia ccm, muulize anajua kama mgao umetangazwa rasmi??? kuishabikia ccm unapaswa kuwa na kili za maiti.... siku yenu itafika tu tutawanyonga nyote nyie mliotuibia
 
Mbowe amewapokea wanachama wapya zaidi ya 85 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwemo Wenyeviti wa Kitongoji cha Mulala na Katibu wa Vijana tawi la CCM Mulala.

SOURCE : NIPASHE YA LEO

Dont trust these rural, illiterate people, tomorrow they will turn around
 
CCM walivyo wajanja wakiona hili wimbi la kukimbiwa na wanachama linakuwa kali wataanza kutengeneza kadi za CDM na kuwapa wanachama wao na kujifanya wanarudisha. Kuna picha niliiona humu Nape na Mwigulu wana kadi za CDM zilizorudishwa lakini cha kushangaza zote ni mpya mpya. Wananchi wameamua kukimbia matusi wanaenda kwenye tumaini na sera...
 
Back
Top Bottom