makabila yetu

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
hey hey. . . wewe kama mwanajamvi naomba unitajie makabila yaliyopo mkoani kwenu. naanza mie makabila yaliyopo mkoani kwetu
1. wajita
2. wajaluo
3. wakurya
haya ndo makabila makuu mkoa wa mara. hii inasaidia kwani unaweza kusikia mtu akitaja kabila flan ukadhani ni nje ya nchi kumbe ni hapahapa bongo. karibuni
 
mbeya, tanga, pwani, lindi, tabora, iringa wenyeji wa hukko tunawasubiri tafadhali!
 
hey hey. . . wewe kama mwanajamvi naomba unitajie makabila yaliyopo mkoani kwenu. naanza mie makabila yaliyopo mkoani kwetu
1. wajita
2. wajaluo
3. wakurya
haya ndo makabila makuu mkoa wa mara. hii inasaidia kwani unaweza kusikia mtu akitaja kabila flan ukadhani ni nje ya nchi kumbe ni hapahapa bongo. karibuni

Natamani ningekuwowa........
Napenda mabinti wa huko mara....
 
huko kwetu a town
masai a.k.a waarusha,
wameru,
wengine wapita njia
 
Wakira, wanchari, walyanchoka, watimbaru, Wairegi, Wakenye ----------Mkoa maalum wa kipolisi TARIME
 
Wagogo warangi wasandawe wasi. hao wanapatikana Dodoma
 
kwetu mbeya! Wanyakyusa,wasafa,wawanji, na. .........wa.......aahh!nimesahau mwingine
anaweza kuendelea!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom