Makabila yetu na Sifa zake

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Kwa sisi wengine tuliozaliwa mijini tuna mchanganyiko sana wa makabila. Na mara nyingi makabila hayo hayana uhusiano kabisa wala hayatoki kwenye mkoa mmoja. Kuzaliwa mjini kumetusaidia sana kujua tabia za makabila mbali mbali. Haya ni maoni yangu yanayotokana na uzowefu wangu.

1. Waluguru = Wanapenda wageni, wafanyabiashara Sokoni, waumini wazuri, mashabiki wakubwa wa mpira wa Miguu

2. Wangindo na wandengereko = Wanaamini dini za asili, wanashirikiana, wanathamini sana wajomba na mama zao

3 Wajaluo = Wajivuni, wanapenda maendeleo, washika mila, wanapenda burudani, wanapenda uzungu

4 Wamanda/wapogoro/wambunga.= Hawana choyo, waburudishaji, wanafamilia, waumini wazuri,wanashikamana.

5. Wanyiha/wasafwa/wapangwa= Washika dini, hawapendi kuingiliana na watu,wanashikamana

6. Wamwera/Wayao = Mahiri kwenye matumizi ya lugha, wanasanaa wa mahusiano, wanaheshimu sana wajomba na mama zao.

7. Wamanyema = Wapenda majadiliano, waumini wazuri,manju, watembezi,wanashikamana

8. Wapare = Washika kanuni, watunza mali, wapenda mijadala, waumini wazuri, wahafidhina.

9. Wafipa = Wahafidhina, washika dini, wanashikamana, wapole, watamaduni

10. Wavidunda/Wasagara/Wasaki/wakaguru/wakutu = wanashikamana, wanafamilia,wanautamaduni

11. Wagogo = Waburudishaji, wanafamilia,waumini wazuri, wapenda sanaa, wanashikamana

12. Wakurya = Wana misimamo, wakweli,wanautamaduni,washindani,wapenda maendeleo

13. Wachagga = Wachakarikaji,waumini wazuri, wapenda maendeleo,wanashikamana

14. Wangoni = Wajivuni, waumini wazuri, watembezi,jasiri, si wasiri

15. Wakwere = Wapole, waumini wazuri, wanautamaduni,wanashikamana,wasiri,

16.Wahaya = Wajivuni, wanapenda elimu, wanapenda maendeleo,waumini wazuri, wanashikamana

17. Wanyamwezi = wapole, waumini wazuri, wanautamaduni,manju,wahafidhina,watembezi,hawashikamani

18. Wapulu = wakimya,wanautamaduni, wajadi, si watembezi,hawajitambulishi kwa jamii (Exposure)

20.Wazanaki = wanatafakuri, Manju, wahafidhina, waumini wazuri, si watembezi, wanashikamana

Makabila mengine na wewe si unayajua? Yataje sasa na sifa zao!!
 
wengine tulitaka tunufaike kwa swali hilo hilo, we nawe ukaongeza uzungu tena ndo umeniharibu kabisaaa! Yaan wali wa maziwa na yangeyange!
Haya bwana kosa ni langu. Wahafidhina ni watu wanaoshikilia mambo au wanaotaka mambo yabaki kama yalivyo. Kama babu alikuwa akitaka kuoa ni lazima achinje mbuzi basi ukioa bila kuchinja mbuzi unaonekana wewe siyo kabisa!!
 
wengine tulitaka tunufaike kwa swali hilo hilo, we nawe ukaongeza uzungu tena ndo umeniharibu kabisaaa! Yaan wali wa maziwa na yangeyange!

mwenyew nlikuwa nasubir ila daah ndo hvo tena mmeshaongea kizungu
 
Kwa sisi wengine tuliozaliwa mijini tuna mchanganyiko sana wa makabila. Na mara nyingi makabila hayo hayana uhusiano kabisa wala hayatoki kwenye mkoa mmoja. Kuzaliwa mjini kumetusaidia sana kujua tabia za makabila mbali mbali. Haya ni maoni yangu yanayotokana na uzowefu wangu.

1. Waluguru = Wanapenda wageni, wafanyabiashara Sokoni, waumini wazuri, mashabiki wakubwa wa mpira wa Miguu

2. Wangindo na wandengereko = Wanaamini dini za asili, wanashirikiana, wanathamini sana wajomba na mama zao

3 Wajaluo = Wajivuni, wanapenda maendeleo, washika mila, wanapenda burudani, wanapenda uzungu

4 Wamanda/wapogoro/wambunga.= Hawana choyo, waburudishaji, wanafamilia, waumini wazuri,wanashikamana.

5. Wanyiha/wasafwa/wapangwa= Washika dini, hawapendi kuingiliana na watu,wanashikamana

6. Wamwera/Wayao = Mahiri kwenye matumizi ya lugha, wanasanaa wa mahusiano, wanaheshimu sana wajomba na mama zao.

7. Wamanyema = Wapenda majadiliano, waumini wazuri,manju, watembezi,wanashikamana

8. Wapare = Washika kanuni, watunza mali, wapenda mijadala, waumini wazuri, wahafidhina.

9. Wafipa = Wahafidhina, washika dini, wanashikamana, wapole, watamaduni

10. Wavidunda/Wasagara/Wasaki/wakaguru/wakutu = wanashikamana, wanafamilia,wanautamaduni

11. Wagogo = Waburudishaji, wanafamilia,waumini wazuri, wapenda sanaa, wanashikamana

12. Wakurya = Wana misimamo, wakweli,wanautamaduni,washindani,wapenda maendeleo

13. Wachagga = Wachakarikaji,waumini wazuri, wapenda maendeleo,wanashikamana

14. Wangoni = Wajivuni, waumini wazuri, watembezi,jasiri, si wasiri

15. Wakwere = Wapole, waumini wazuri, wanautamaduni,wanashikamana,wasiri,

16.Wahaya = Wajivuni, wanapenda elimu, wanapenda maendeleo,waumini wazuri, wanashikamana

17. Wanyamwezi = wapole, waumini wazuri, wanautamaduni,manju,wahafidhina,watembezi,hawashikamani

18. Wapulu = wakimya,wanautamaduni, wajadi, si watembezi,hawajitambulishi kwa jamii (Exposure)

20.Wazanaki = wanatafakuri, Manju, wahafidhina, waumini wazuri, si watembezi, wanashikamana

Makabila mengine na wewe si unayajua? Yataje sasa na sifa zao!!

Unajua hujaandika kitu kabisa hapa. umeshupalia waumini wazuri, wanashikamana kwa kila kabila. Au yote hayo ni kabila moja?
Hivi kutunga nadharia kunaruhusiwa JF?
Tunaomba sasa kuwepo na jukwaa la Fiction and Crackpots
 
kweli kabisa bwana kwa mujibu wake watz woote ni sawa, mmh labda kuna ukweli ngoja tujichunguze zaidi.
 
Unajua hujaandika kitu kabisa hapa. umeshupalia waumini wazuri, wanashikamana kwa kila kabila. Au yote hayo ni kabila moja?
Hivi kutunga nadharia kunaruhusiwa JF?
Tunaomba sasa kuwepo na jukwaa la Fiction and Crackpots
Kama hatungekuwa tunafanana basi tusingekuwa hivi tulivyo. Mnyakyusa akikutana na Mnyakyusa mwenzake hawashikamani?
 
Back
Top Bottom