Hivi ndivyo tendo la NDOA linavyoombwa na baadhi ya Makabila

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,354
Tendo la ndoa kwa wanandoa katika makabila tofauti huombwa kwa viashirio tofauti:

"Mchagga"........'We mama Haika, uko wapi? Ntaacha!!!
"Mkurya"..........'Rara chini nikurenge"
"Mhaya"..........."Mama Koku if you are ready twende tuka-perform"
"Mnyakyusa"....."Findu fyangu we obhokela

"Mpare" ..........."Mama Foibe thou nikakudenge"
"Msukuma".."Mama Kabula twendee tukhalimege litonge"
"Mjaluo"..........."Twendege tukasukumane"
"Mmasai".........."Mama Yeyoooo nataka ile namesa mwensake saa hii"

Natamani kujua Tanga Line, Wanyamwezi na Dengereko wanaombaje gemu kwa wake zao?

Angalizo: Hii ni kwa wanandoa tu!!
 
kwani wewe huwa unatishia kususa? eti nitaacha......wakati mtu mwenyewe siku hiyo unarudi saa 12, umebeba matunda, safari za jikoni haziishi, mara ooh nasikia harufu ya misosi unapika nini vile, mara unashika kiuno ya mamsapu kidogo, mara unapiga makalio yake kibao!

yote hayo maandalizi tu.........halafu ususe hiyo kitu inamesa mensie weeeee!!
 
Tendo la ndoa kwa wanandoa katika makabila tofauti huombwa kwaviashirio tofauti:

''Mchagga"........'We mama Haika, uko wapi? Ntaacha!!!
"Mkurya"..........'Rara chini nikurenge"
"Mhaya"..........."Mama Koku if you are ready twende tuka-perform"
"Mnyakyusa"....."Findu fyangu we obhokela
"Mpare" ..........."Mama Foibe thou nikakudenge"
"Msukuma".."Mama Kabula twendee tukhalimege litonge"
"Mjaluo"..........."Twendege tukasukumane"
"Mmasai".........."Mama Yeyoooo nataka ile namesa mwensake saa hii"

Natamani kujua Tanga Line,Wanyamwezi na Dengereko wanaombaje gemu kwa wake zao?
Angalizo: Hii ni kwa wanandoa tu!!
HEHEHEHE!mimi nimelipenda angalizo tu

WAHEHE HUJAWARUSHA
 
kwani wewe huwa unatishia kususa? eti nitaacha......wakati mtu mwenyewe siku hiyo unarudi saa 12, umebeba matunda, safari za jikoni haziishi, mara ooh nasikia harufu ya misosi unapika nini vile, mara unashika kiuno ya mamsapu kidogo, mara unapiga makalio yake kibao!

yote hayo maandalizi tu.........halafu ususe hiyo kitu inamesa mensie weeeee!!

Unasahau kuwa nakuwa nimetokea bar. Na mabo ya bar tunayajua wadumisha mila wenyewe.........:D:D:D!!!!!!
 
baba ........... si unaona mtoto kakuwa?twende basi tukamtafutie mwenzie wa kucheza nae
 
WANYAKYUSA ''...nungweeee?!TUWUUKE NUNGWE...!tuwuke tukin....ore:D:D
 
Wakwere wao saa yoyote tu huwa mzee aningia ndani anasema
mama cheusi.......hebu njoo mara moja.
mama akisikia hivyo tu, hata kama kuna maharage jikoni, anayatoa kwanza, coz anajua mzee anataka chakula yake.

na si unajua mzee msuli, mama kanga moja, kwa hiyo hakuna shida kusagula.
 
Kaka mkuu haikuwa maana yangu kuwa niko kijasiriamali zaidi,hapana hata Kimapenzi zaidi nako nipo nipo.ila tu Tatizo ni lile ANGALIZO;Kwa wenye ndoa tu.
Kumbe bado kuolewa? Ngoja ni do the needful!

baba ........... si unaona mtoto kakuwa?twende basi tukamtafutie mwenzie wa kucheza nae
Hehehe! Hilo ombi lazima litakuwa la mchana!!

WANYAKYUSA ''...nungweeee?!TUWUUKE NUNGWE...!tuwuke tukin....ore:D:D
Hahahaha! PJ ngoja akuje kuthibitisha!

Wakwere wao saa yoyote tu huwa mzee aningia ndani anasema
mama cheusi.......hebu njoo mara moja.
mama akisikia hivyo tu, hata kama kuna maharage jikoni, anayatoa kwanza, coz anajua mzee anataka chakula yake.

na si unajua mzee msuli, mama kanga moja, kwa hiyo hakuna shida kusagula.
Hahaha! Kumbe ndo maana prezidaa wetu mambo flani.........:D:D:D!!!!!!!
 
Acha ubaguzi Xspin mwone kwanza

Hahaha! Mshiki wewe bado kujua haya. Subiri projekti yako ifike.

Nyie bado zenu zile za kudandiana chini ya mikahawa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom