Makabila haya

digodigo

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
255
178
Kwa utafiti wa haraka haraka kama mpita njia nimegundua kuwa baadhi ya makabila kama Wamakonde,Wangoni,na Wazigua(Tanga line) ni makabila yanayopenda sex sana.

Naomba wataalamu mnijulishe je kuna uhusiano gani wa hayo masuala na mazingira watokayo hawa watu au pengine 'genes' zao zinakuwa stimulated na baadhi ya vyalula wanavyokula? wamakonde huanza shughuli hizi at very early ages, wangoni wako tayari hata kudeal na ndugu wakaribu na wenzetu wa Tanga ni ving'ang'anizi.

Nadhani wenzangu mtaniunga mkono.
 
mi mwenyewe mngoni pure na haka katabia kapo miongoni mwetu, tukipenda tunapenda kwerkwer eti..! Tupo tayari hata kuhonga mashamba, mifugo ili mradi tu umpate mdodido. Mbaya zaidi hata watoto wadogo under 15 nao hawashkk kwa ngo..o!!?
 
makabila ayo tu ndo wenye BIOLOJIA?
MAKABILA mengne awafany ngono?
hawazalian?
au kipimo cha ngono kwako ni kip?


umetumia criteria gan kucoclude?


thank u.
 
hivi result ya kupenda sex si kuzaana sana? au nakosea. kama ni kweli tuangalie ni mkoa na makabila yepi yanazaana sana.
1-wasukuma
2 -............
3.......
 
kwa utafiti wa haraka haraka kama mpita njia nimegundua kuwa baadhi ya makabila kama wamakonde,wangoni,na wazigua(tanga line) ni makabila yanayopenda sex sana. Naomba wataalamu mnijulishe je kuna uhusiano gani wa hayo masuala na mazingira watokayo hawa watu au pengine 'genes' zao zinakuwa stimulated na baadhi ya vyalula wanavyokula? Wamakonde huanza shughuli hizi at very early ages, wangoni wako tayari hata kudeal na ndugu wakaribu na wenzetu wa tanga ni ving'ang'anizi.nadhani wenzangu mtaniunga mkono.

umewasahau whaya na wanyakyusa lol
 
Wana JF kwa ulimwengu wa sasa hakuna kabila ambalo unaweza kulinyooshea kidole kwamba wao wamezidi kwa ngono, cha msingi wewe muombe mungu akupe mpenzi/mke mwenye maadili, jaribu kuwa na mpenzi wa kabili unalofikiri ni mwadilifu halafu mchunguze uone.
 
kila kabila linaongoza kwa ngono akuna linalomzidi mwenzake ila ni hulka tu zawatu kupenda kusingizia alafu ni hulka ya m2 binafsi utakuta mwanamke au mwanaume wa kabila fulani malaya akuna mfano
 
Kabila halina uhusiano na mambo ya ngono. Mambo mengine ni matani zaidi kati ya makabila na makabila. Nadhani ingekuwa hivyo kwa makabila uliyoyataja (wamakonde, wangoni na watanga), rate ya HIV ingekuwa juu kwa mikoa hiyo pia idadi ya watu ingekuwa juu.
 
Back
Top Bottom