Makaa ya mawe/ coal

mwakabhuta

Member
Oct 4, 2010
16
9
Wanajamii, kuna mtu anafahamu wapi hapa Dar naweza kununua coal au makaa ya mawe. ningependa kujua bei na kiasi cha mzigo wa kuanzia ambao unafika sokoni.

nahitaji coal kwa ajili ya chanzo cha moto.
 
Wanajamii, kuna mtu anafahamu wapi hapa Dar naweza kununua coal au makaa ya mawe. ningependa kujua bei na kiasi cha mzigo wa kuanzia ambao unafika sokoni.

nahitaji coal kwa ajili ya chanzo cha moto.

Hapo zamani Kiwira Coal Mines walikuwa wanauza hapa Dar es Salaam kwa viwanda sehemu za Nelson Mandela Rd. Sina uhakika kama bado wanafanya hivyo. Anyway mimi niliwahi kufika Kiwira coal Mines na niliona wakitengeneza "coal briquettes" ambazo zimepunguzwa ukali wa moto kwa matumizi ya nyumbani. Jaribu kuwasiliana na Kiwira Coal Mines labda wanaweza kukupa orodha ya mawakala wao kama wanao. Good luck
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom