Majuu ni majuuu aisee

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
majuu bana ni majuuu hata kwenye makaburi lazima utupie swagga....
IMG_7204.JPG


mchizi anaonekana mwenye masikitiko makubwaaa akiwa kwenye mkao wa majonzi kwenye kaburi la msela wake aliefariki huko majuu boston MA......majuu inaruhusiwa kula one two check microphone hata kwenye makaburi....

sosi http://fundirkombo.blogspot.com/2012/07/watanzania-wa-massachusetts-na.html#comment-form
 
Mabishow bwana mtawajua tu.Ila kumbuka hapa sio facebook teh teh kwa hiyo umetuTAG picha yako au sio?
 
Back
Top Bottom