Majumba Ya Tegeta Machimbo viwanja wanauziwa nani? Habari Picha

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
kukiwa kuna hali isiyolasimi ya kumiliki viwanja visivyo pimwa hadi kusababisha msongamano wa vijumba vidogodogoambavyo havina vyoo wala barabara huku tanesco na dawasco ikipeleka huduma, ni jambo la kushangaza sana kuona vijumba mithili ya uyoga vikijengwa kwa kasi na kuatarisha usalama wa barabara zetu hasa pale tegeta machimbo.

Ninauliza nani anatoa kibari cha ujenzi nani anauza sehemu hizi bila mpangilio wa mji au huu ndio uvamizi holela wa viwanja baadaye serikali ije kubomoa kwa gharama na kuahatarisha maisha ya wakazi kwa kupteza rasilimali
 

Attachments

  • tegeta.JPG
    tegeta.JPG
    515.2 KB · Views: 44
  • machimbo.JPG
    machimbo.JPG
    539 KB · Views: 40
Huweziamini kuna mawaziri na makatibu wakuu wanakaa mitaa hiyo ya kunduchi, bahari beach na wanaiona hiyo hali
 
Back
Top Bottom