majukwaa yenye stress!!

Duu la siasa bhana! Ni kiwa hapo napandwa hasira kuona mtu anatetea utumbo, saa nyingine nafikiria kuchoma kitambulisho cha kupigia kura, ikifika kwenye kesi za uchaguzi roho inaenda mbio! Yan stress tupu hakuna kufurahi

ban zote zinatoka jukwaa hilo
 
jf doctor.....uwiii....nikiingia kule naona kama nipo wodini....watu wanaumwa bana....we acha tu....

ebu ngoja nikapacheki uko,yani maisha yangu yote jf sijawai ata kuchungulia uko..naogopa sana kusikia magonjwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom