majukwaa yenye stress!!

Ngongoseke

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
3,203
1,462
Waungwana mimi nikigusa jukwaa la siasa na dini nahisi kupata strees tu' haya wewe jukwaa gani linakupa strees?
 
Duu la siasa bhana! Ni kiwa hapo napandwa hasira kuona mtu anatetea utumbo, saa nyingine nafikiria kuchoma kitambulisho cha kupigia kura, ikifika kwenye kesi za uchaguzi roho inaenda mbio! Yan stress tupu hakuna kufurahi
 
Ahaa na wewe ruta panakukera huko? Mimi napata stress sana kwenye siasa ila nikiwa heading tu najikuta nimeshaingia mpaka nikitoka maumivu tayari
 
:biggrin1: ni kweli lakini, yaani jamii forum nzima...ukiingia siasa lazima upandishwe na hasira, tunashukuru chit chat zipo angalau zinatupooza

Yah kweli mtotowamjini na kama member wote tukikaa majukwaa ya siasa tu mwisho tutachukiana tu'maana kule kila mtu na mtazamo wke na hakuna mshindi kule
 
jf doctor.....uwiii....nikiingia kule naona kama nipo wodini....watu wanaumwa bana....we acha tu....
Afu we hebu kuja pande hii unimeze. Nasikia una maumivu ya naniliyu.

Afu uchape mwendo jukwaa la dini ukafanyiwe maombi na mastress makers ya kule. Manin zao na nusu.
 
Afu we hebu kuja pande hii unimeze. Nasikia una maumivu ya naniliyu.

Afu uchape mwendo jukwaa la dini ukafanyiwe maombi na mastress makers ya kule. Manin zao na nusu.

Hahha asprin unautani na preta eeh!!!
 
jukwaa la siasa fully ma stress though tutambana paka kieleweke....
 
Nijukwaa ambalo nalipenda sana na nina penda sana hila pressure zake bhana, mara mtu katolewa bungeni mara kesho ni hukumu ya kesi ya uchaguzi yani roho mbio mbio!
Ahaa na wewe ruta panakukera huko? Mimi napata stress sana kwenye siasa ila nikiwa heading tu najikuta nimeshaingia mpaka nikitoka maumivu tayari
 
Afu we hebu kuja pande hii unimeze. Nasikia una maumivu ya naniliyu.

Afu uchape mwendo jukwaa la dini ukafanyiwe maombi na mastress makers ya kule. Manin zao na nusu.

he he he.....umejuaje....natarajia mtu chake jr siku za karibuni....kinanipelekesha kweli.....nikienda kuombewa kinaweza kukosa kurithi karama ya baba yake ya ungedere disco.....sitaki...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom