Majukumu ya mh. Lukuvi

Awe karibu na vidosho wa cbe maana ni mtongozaji mzuri maana kwenye hilo halina nguvu ya kuwa na elimu ya darasani
 
Wana JF ninaomba mnijuze majukumu ya waziri Lukuvi siyafahamu. Mara nyingi namwona ni mtu wa kuomba mwongozo na kutoa taarifa bungeni. Wadhifa huo una tija yoyote kwa maendeleo ya nchi?

Wakuu kwa hili mie nilishindwa kumwelewa Lukuvi yeye alikuwa ni mnafiki anataka vielelezo gani wakati tayari CAG alisha gawa yale ma book yana details zote alitaka vithibitisho vipi zaidi ina maana CAG na ni mwongo au??

Inamaaana kumbe hata yale mabook ya CAG ni useless tuu mule ndani ya bunge au ni ya kupigia porojo ndani ya bunge na yasifuatiliwe tena na kutekeleza uwajibikaji?

My Take;

LUKUVI you must Goooooooo na wewe

 
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Washington International University BA (Inter. Studies &Diplomacy) 2001 - GRADUATE
Johanesburg-South International Observers Course 1994 - CERTIFICATE
Moscow Leadership Course 1985 - CERTIFICATE
Moscow Diploma in Political Science 1982 1983 DIPLOMA
Lindi Political Course 1976 - CERTIFICATE
Mbeya Secondary School A-Level Education - 1981 HIGH SCHOOL
Tabora Teacher's Training College Teaching Course - 1975 CERTIFICATE
Iringa Training in Defence and Security - 1980 CERTIFICATE
Mahiwa College Training in Politics - - CERTIFICATE
Computer Training College-Dar es Salaam Training in Computer Course - 1998 CERTIFICATE

ELIMU HIYO HAPO,
 
Aliempa hichi cheo ndio tatizo.........hakieleweki...... The Minister of State in the Prime Minister's Office (Policy, Co-ordination and Parliamentary Affairs), Mr William Vangimembe Lukuvi......Wahehe hebu tuambieni hilo jina la kati maana yake ni nini?
 
Kwa mtu yeyote aliyezoea ushirikina lazima awe na ndondocha. Alikuwepo kichefuchefu Tambwe Hiza, Mkuchika, Makamba Sr, na sasa ni Lukuvi. Kazi yake ndio hiyo kuhakikisha mambo ya maana hayapati nafasi ya kujadiliwa.

Universal
Primary
Education
 
Acha ubaguzi wako huo wa kijinga. Yeye ameuliza kwa sababu hajui lakini wewe unaanza kashfa.
Haya wewe mwenye Phd mbona umeshindwa kujibu swali la darasa la saba? Acha ushamba mkuu kwani elimu yako imekuwa ni kuwadharau wengine. Hapa ni kuelimishana. Huu ni ushamba sana.

hujamwelewa!ANAEZUNGUMZIWA KUWA LA SABA NI MKULO
 
kwa mawaziri ya sasa jamaa anajitahidi kutetea serekali , he is one of the few ministers atakayerudi kama baraza la mawaziri likivunjwa. u can't compare him na wakina Wasira, Nundu, Nagu, Mkuchika, Mponda, Mkulo.......... etc some days huwa unamuona anajaribu ku buy time kupooza wapinzani , imagine kama Lukuvi angekua analala kama Mh Wasira . He is a fighter :A S 41:
 
Nimekuwa nikimfuatilia mheshimiwa Lukuvi mara nyingi na uwa namuona akijielekeza sana kwenye kuomba mwongozo wa spika, nafahamu ni moja ya majukumu yake, je ana majukumu mengine???nisaidieni tafadhari.
 
huyu lukuvi ni ndumila kuwili na mnafiki kweli kweli , hana elimu ni mbwembwe tu
 
hao ndiyo boot lickers,asipomtetea JK atapigwa bao.Wakati huo huo anajifanya rafiki wa wabunge!GOLD DIGGER!
 
JK na CCM ni dhaifu! Kuna wasomi wazuri tu CCM ila hawaongei na wanafikiria kwa matumbo yao badala akili zilizowapa vyeti vyao. Hawawezi kuongea etc.. Lukuvi inabidi aongee ili ajihakikishie kubaki kwenye serikali dhaifu..... Maana wakija kwenye vyeti hana....
 
huyu hata namimi nimemona he is never objective especially when it is against the ruling party.


Tunamomba awe ana dili na issues sio mwogozo kilawakati
 
Back
Top Bottom