Major General Abdala natepe afariki

pumzika meja!.....
bwana ametoa na BWANA AMETWAA
JINA LA BWANA LIBARIKIWE
SISI SOTE TU MAVUMBI NA MAVUMBINI TUTARUDI
SIKU ZETU ZA KUISHI HAPA DUNIANI ZIMEHESABIWA
KAZI YA BWANA HANI MAKOSA

r.i.p
 
May all beings attain enlightenment.

Nassor na familia pigeni moyo konde katika wakati huu mgumu.
 
Tunamshukuru Mungu kwa nafasi ya kuwa naye kati yetu na kulitumikia taifa. Mungu ailaze roho yake pema peponi, na aifariji familia ya marehemu katika kupokea msiba huu mzito. Amina
 
Poleni CCM na wafiwa. Amebaki nani sasa kwenye lile Baraza la kwanza la Mapinduzi? Kuna haja ya kuendelea na baraza hili? Na serikali ya Zanzibar iendelee kuitwa ya Mapinduzi?
 
Mwacheni afe banaa asituwekee usiku hapa. Kama baba mchawi utampenda tu. Ukiambiwa baba yako alimbaka mamayako halafu ukazaliwa weye utaendelea kumpenda huyo baba huyo.

Wanamapinduzi ndio wale wauwaji,wabakaji,wanyang'anyi nk. Hatuwe umia kwa kufa kwao bali twafurahi hasa.
 
Ndugu tunajua SMZ imefanya dhila na udhulumaji mwingi zanzibar na pia wameua na kubaka kama duru za historia mbali mbali zinavyosema ila marehemu hatajwi kwa mabaya yake ila tunamtaja kwa mazuri yake. Hayo mabaya muachie aende nayo kaburini atajuana yeye na mola wake. RIP General Abdallah Natepe Innallilahi waina illaihi rajiun.
 
Mwacheni afe banaa asituwekee usiku hapa. Kama baba mchawi utampenda tu. Ukiambiwa baba yako alimbaka mamayako halafu ukazaliwa weye utaendelea kumpenda huyo baba huyo.

Wanamapinduzi ndio wale wauwaji,wabakaji,wanyang'anyi nk. Hatuwe umia kwa kufa kwao bali twafurahi hasa.

Duh-Wee lazma utakuwa CUF kojo wee! pia hizbuuu, kwani bado mpo?
 
ndugu tunajua smz imefanya dhila na udhulumaji mwingi zanzibar na pia wameua na kubaka kama duru za historia mbali mbali zinavyosema ila marehemu hatajwi kwa mabaya yake ila tunamtaja kwa mazuri yake. Hayo mabaya muachie aende nayo kaburini atajuana yeye na mola wake. Rip general abdallah natepe innallilahi waina illaihi rajiun.

mbona farao huwa anatajwa mabaya yake yote aliyoyafanya tena kimaandishi ktk vitabu vyote vya dini na hata kuran takatifu hata aya moja haielezi uzuri wa farao bali maovu yake yote! Sasa wewe unasema tumsifie natepe wapi umeyatoa hayo?

ameshiriki mauwaji ya kimbari huko zanzibar 1964 na kuwa member wa kinachoitwa baraza la mapinduzi hawezi kukwepa laana za waathirika wa mauwaji hayo mpaka siku ya kiyama! Ukitaka asamehewe basi familiya yake iwalipe fidia familia ya watu waliouwawa aidha kwa mkono wake natepe mwenyewe au wale aliowapa amri ya kuuwa!

hivi ndio dini na sheria inavyofundisha lakini sio kumsifia na kumuombea dua mtu muuwaji!!!!
 
Kaka katika quran ametajwa firauni kama kisa ili kiwe na mafunzo ya mtu ambaye alikuwa na kibri mpaka akajiita mungu niambie wapi ilitaji maovu ya farao kwa watu individually? Pili mmungu anasema wakallu musibatul inalillahi waina illaihi rajiun mmungu anasema hapa kuwa na mmoja akipatwa na msiba asema inallillahi waina illaihi rajiun (sisi sote ni wa mmungu na kwake yeye ni marejeo) sasa kwanini asiseme na mtu mwema akifa basi mseme hivyo? Pia kipo kisa cha sahaba mmoja anaitwa Ikrimat Abu Jahal mtoto wa Abu Jahal alipofariki baba yake Abu Jahal mtume alikuwa akiwakataza masahaba wasimtaje maovu ya baba yake mbele ya mwanae. Sasa sio vizuri ndugu nazungumzia hiyo kama nasaha tu si zaidi.

Mabaya kama ameshakufa mwachie mmungu ingawa sio vibaya kuyasema ila usiseme afadhali amekufa tutapumzika kwasababu kila nafsi itaonja mauti na hujui wewe kama mmungu ameshamsamehe madhambi yake kabla mauti hayajamfika
 
Kadogoo said:
Mwacheni afe banaa asituwekee usiku hapa. Kama baba mchawi utampenda tu. Ukiambiwa baba yako alimbaka mamayako halafu ukazaliwa weye utaendelea kumpenda huyo baba huyo.

Kadogoo,

..Waarabu walikuwa wakibaka wanawake wa Kiafrika wakati wa utumwa na hata baada ya hapo? ukweli huo ndiyo uliopelekea ukatili na ubakaji unaosemekana ulitokea wakati wa Mapinduzi ya ZNZ.

..tatizo ni kwamba sasa hivi kuna Wamanga-koko wengi huko Zenj wanapinga mapinduzi na kulaani ubakaji wakati wa mapinduzi yale, bila kubainisha kwamba mababu zao wa Kiarabu nao walifanya mambo hayohayo.

..Njia sahihi ya kufuata sasa hivi ni kuamua kujenga Zenj mpya isiyobagua kwa misingi ya rangi, dini,kabila,jinsia,na vyama vya siasa.

..
 
Historia kuntu!
 
Back
Top Bottom