Majonzi ya mwezi wa sita

Mau

Senior Member
Apr 8, 2009
176
10
Jamani wana JF kabla hujasoma thread hii fumba macho kwa sekunde kumi na tano uwaombee waliotutoka mwezi uliopita na umuombe mola akulinde mwezi huu unaoanza wa july

Katika sala yako wakumbuke

Michael Jackson (USA)
Nasma hamis Kidogo(Tz)
Sheikh Sulleiman Gorogosi(Tz)
Omar Bongo (Gabon)
Haroub Othman (ZNZ)
Wahanga wa Ndege (Airfrance) (BZ)
na nyingine iliyoanguka comoro (CM)
 
Mau umesahau Tarime na Bunda vita vya makabila inadaiwa zaidi ya watu 100 wamepoteza maisha,Juzi kati hapa Tunduma tena.
 
Jamani wana JF kabla hujasoma thread hii fumba macho kwa sekunde kumi na tano uwaombee waliotutoka mwezi uliopita na umuombe mola akulinde mwezi huu unaoanza wa july

Katika sala yako wakumbuke

Michael Jackson (USA)
Nasma hamis Kidogo(Tz)
Sheikh Sulleiman Gorogosi(Tz)
Omar Bongo (Gabon)
Haroub Othman (ZNZ)
Wahanga wa Ndege (Airfrance) (BZ)
na nyingine iliyoanguka comoro (CM)

Ndugu yangu Mau, ni kweli huwa inatia uchungu sana pale tunapokuwa tumeondokewa na ndugu, jamaa na marafiki tunaowapenda, lakini naomba uniwie radhi kusema ifuatavyo;
Marehemu huwa hawaombewi. Mtu akishakufa tu anavuna kile alichopanda wakati wa uhai wake akiwa hapa duniani, vinginevyo hakuna mtu atakaye kwenda Jehanamu maana wote wataombewa tena watu maarufu ndo usiseme maana maombi ni mengi kupita kawaida. Cha maana ni sisi tulio hai tutengeneze njia zetu na MUNGU tungali hai ili tukifa twende mbinguni. Maandiko yanasema,

Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu"(Waebrania 9:27).

Hebrews 9 (Amplified Bible)

27And just as it is appointed for [all] men once to die, and after that the [certain] judgment,

Nakubaliana na wewe kuwa tuendelee kumwomba MUNGU atuepushe na majanga ya kila aina.

Asante.
 
Back
Top Bottom