Majoho ya wahitimu bomba

Discussion in 'Jamii Photos' started by kitalolo, Nov 23, 2012.

 1. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,843
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 38
 2. Mtingaji

  Mtingaji JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 1,203
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
 3. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu hiyo picha ya mwisho nahisi sio sahihi utajuaje uko wapi
   
 4. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 5,278
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 38
 5. kbm

  kbm JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 4,934
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 48
  mpiga picha anavyojitahidi ili waonekane vizuri! Loh!
   
 6. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 38
  Hiyo ya mwisho kiboko....
   
 7. Jagarld

  Jagarld JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 1,375
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
 8. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni mafahali ya Morogoro Muslim University ,2012 chini ya mkuu wa chuo Hajjat Mwantum Jasmine Malale
   
 9. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 6,880
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 38
  Ona jibaba linakazana kupiga picha sura zisizoonekana. maadam limeamliwa kuwa wanawake wafunike mwili mzima halifikiri kuwa hapa picha ina mana gani linakazana tu. Eti ALLAH kaagiza!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 10. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 6,880
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 38
  Picha ya mwisho inaonyesha hawa wanawake wana walakini katika kufikiri. Huyu kesho ukimwambia kuwa mmeamuliwa kutoa mapenzi kinyume na maumbile (department 4) atakubali maana kama kakubali upuuzi huo eti kwa vile imeamliwa, kesho akiambiwa imeamuliwa hivyo na hilo atafanya maana hakuna analohoji!!!!!!!!!!!!!
   
 11. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #11
  Nov 24, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 22,837
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 83
  haya bana, alimradi majoho
   
 12. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #12
  Nov 24, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 13,070
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 48
  Duuuuuh lakini ndie mnyaazi mungu alivyoagiza watafanyaje? Ni nje ya uwezo wao
   
 13. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #13
  Nov 24, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,282
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 48
  Mi naomba kutambulishwa hiyo picha ya mwisho anza na huyo dada wa kushoto
   
 14. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #14
  Nov 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,490
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 48
 15. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #15
  Nov 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,815
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio dada ni mwanaume!:becky:
   
 16. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #16
  Nov 24, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 5,278
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 38
  Halafu mtu anatinga na vyeti vyake kwenye interview kwa mtindo huu kesi inahamia kwenye 'mfumo .......'

  Kweli wewe ndio HR unamuajiri ninja awe receptionist? Au customer care..loh!
   
 17. b

  babacollins JF-Expert Member

  #17
  Nov 24, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 879
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  ....................na akina nani..
   
 18. GOOGLE

  GOOGLE JF-Expert Member

  #18
  Nov 24, 2012
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 38
  Chuo gani kinavyalisha majoho ya hivi?? Iraq au Iran.
   
 19. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #19
  Nov 25, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,793
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  taaaaanzaniiiiiiiiiiiiiiiiiia
   
 20. IGUDUNG'WA

  IGUDUNG'WA JF-Expert Member

  #20
  Nov 25, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 1,212
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 36
  vipi kulikuwa na vifaa vya kukagulia milipuko?
   
 21. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #21
  Nov 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 14,274
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 83
  jamaani, sio vizuri hivi.
   
 22. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #22
  Nov 25, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  sasa hapa utajuwaje kama hawa kweli ndio walio-graduate !!
  Jamani mbona mnakuwa na masihara kama ya kweli wakati mwengine !!
   
 23. Dodoma one

  Dodoma one JF-Expert Member

  #23
  Nov 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 262
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Yaaani we acha 2,natambulisha kwa jina mojamoja kutoka kushoto walio simama AMINA ,ZUWENA,MWAJUMA,HAULATH,HADIJA,walio chuchumaa kutoka kushoto TATU,TABU,SHIDA.
   
 24. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #24
  Nov 25, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,843
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 38
  Asante [MENTION]Dodom one[/MENTION] kwa utambulisho huo
   
 25. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #25
  Nov 25, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 3,329
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 48
  Hii umetuibia mkuu, hata ukii-zoom in unona kuwa umeitoa kwenye mtandao. Kama vipi itupie kule kwenye jukwaa la jokes nadhani ndiyo mahala pake.
   
 26. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #26
  Nov 25, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,843
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 38
  kiko morogoro mkuu zamani ilikuwaa Taa nesco siku hizi do once
   
 27. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #27
  Nov 25, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 3,329
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 48

  Najua ni kejeli lakini ngoja nikujibu kikejeli hivyo hivyo! Ni kweli kuwa wameamliwa lakini hizo amri zimekuwepo karne na karne katika maandishi ya kitabu cha imani yao (Quran) hivyo hakuna wa kuwaamrisha isipokuwa hicho kitabu na kingine zaidi kitabu chao hakibadiliki ni hicho hicho hakina toleo la kale, toleo jipya la kuja kuwaamrisha sasa waanze kutoa depertment 4 unayoisema.
   
 28. Jungumawe

  Jungumawe JF-Expert Member

  #28
  Nov 25, 2012
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 243
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 18
 29. K

  KVM JF-Expert Member

  #29
  Nov 25, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,307
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 38

  Biashara ni matangazo, au sivyo?
   
 30. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #30
  Nov 25, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 3,329
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 48

Share This Page