MAJIRA sasa wanatangaza ngono live

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Game Theory, Dec 24, 2007.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2007
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 10,035
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  hili ni gazeti ambalo linasomwa na mamilioni ya watanzania lakini hebu tazama hii forum yao ina mambo gani? Lakini tusiwalaumu sana inawezekana kuwa wenye gazeti la MAJIRA wameona kuwa wasomaji wao eidha wanapenda NGONO ndio maana wakaamua kuweka links za ajabu ajabu kwenye mtandao wao au ni kusudi tuuu

  In short hawa jamaa wa jajira ni sawa na huyu jamaa hapo chini anayesubiri mtu ukue ili ajinyonge
  [​IMG]  http://www.majira.co.tz/mijadala/viewforum.php?f=1&sid=e51db365569538e32acb6b6688e6480c
   
 2. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2007
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,279
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
 3. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2007
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 1,286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kila kitu kinakwenda Hovyo kwetu!.Nilifikiri ni Viongozi tu,kuwa hawana maadili mazuri kwa Wanaowaongoza,na wote wamejikita katika kujilimbikizia mali,SASA hii mpya kumbe hata vyombo vya habari vinatangaza Ngono Hadharani?.Yarabi Toba tunajenga jamii ya namna gani?.
   
 4. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2007
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 3,040
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mie nilienda chungulia huko, sehemu ya siasa tobaaaa!! Nikajua labda kuna mtu kawarushia chura hapo, kwanini wasingeweka chumbani?? bado siamini kama wameweka kusudi, itakuwa wamevamiwa!
   
 5. K

  Kigeugeu Senior Member

  #5
  Dec 24, 2007
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wamevamiwa yawezekana- na hii Xmass ndo watu wamepumzika! Hawako makini?
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2007
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 43,970
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 0
  Huko naona ni bora liende tu...sijui hao moderators wa huko hawaoni kama kuna kasoro kubwa sana kwa kuweka mambo bila kuwa na mpangilio maalum.
   
 7. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2007
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,748
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  yeah hata ile website ya cuf ilivamiwa si mnakumbuka kipindi kile tu;lipokuwa tukijadili mada yao?

  inaonekana mods waop hawako makini
   
 8. Ibambasi

  Ibambasi JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2007
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 1,561
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 38
  wamevamiwa au hawakuvamiwa hii inaonesha kitu kimoja:the guys are nvere serious na kuwa harak haraka yao ya kutaka kupambana au kuoutmarket JF ndo itakayowamaliza.JF (naamini hivyo)haifadhiliwi na mafisadi wala kuongozwa na pesa za damu bali inalindwa na kujengwa na kuongozwa na uchungu/uzalendo wa nchi yetu.Ndo maana hapa yeyote mwenye mchango constructive anakuja mwenyewe kwa nia ya KUJENGA.Kwa kutambua kuwa kuna watu wanahamu sana na hayo mambo ndo sababu JF iliweka forum maalumu kwa ajili ya mambo hayo,wao majira kwa kuongozwa na ufisadi wameoverlook mambo ya msingi kama hayo...and this only goes further to prove that JF is well organized na ni fimbo ya mafisadi,imefikia wapi ile forum ya daily news/habarileo?
   
 9. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #9
  Dec 24, 2007
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,922
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni kuwa hawana security system ya kuzuia "spam post".I can never take any such forum seriously.
   
 10. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #10
  Dec 24, 2007
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 4,278
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 38
  Mimi nashauri kwa moyo wa Uzalendo kama kuna mtu ana simu ya mkononi ya editor- awasiliane nao- huenda ni kujishahau!

  Ni Watz- Wakenya wasije enda kule ikaletwa maneno au Tume ya Habari/Mawasiliano wakafungia hili gazeti- wote tunalifaidi kulisoma!

  Naomba kuwakilisha!
   
 11. u

  under_age JF-Expert Member

  #11
  Dec 24, 2007
  Joined: Apr 17, 2007
  Messages: 402
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mawazo mazuri mzalendo, lakini tatizo letu waswahili siku zote tunafikiria kubomoa,hatufikirii kujenga.imani yangu inaniambia mkosa hukosolewa, hapigwi vijembe pembeni. kupigana vijembe ni kuleta uadui katika jamii ambayo inahitaji umoja katika muda huu ambao giza la dhulma limetanda katika anga la tanzania.kama kuna mtu mwenye namba ya huyo editor tunaomba atuwekee hapa.kwa nguvu za mola tutajitahidi kumfahamisha. mungu atupe umoja inshalaah. amiin
   
 12. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #12
  Dec 24, 2007
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,310
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  si ndio maana Jambo Forums itabakia kuwa juu???kama hata ma mod.wao wanashindwa kucontrol vitu kama hivyoo hawatafika mbali!
  ama kweli JF yaongoza wengine wanajikongoja
   
 13. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,645
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  duuuuuuuuuuuuu!
   
 14. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #14
  Apr 26, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  Yametimia... Majira sasa KUSHNEHI...
   
 15. Profesy

  Profesy JF-Expert Member

  #15
  May 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 381
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe Game Theory ni mbea...
   
 16. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #16
  May 17, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 44,132
  Likes Received: 267
  Trophy Points: 83
  Jamani hiyo nyuzi ya mwaka 2007, miaka 4 nyuma na siku hizo hata jina la jukwaa lilikuwa ni Jambo Forums.
   
 17. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #17
  May 17, 2011
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 933
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Una uhakika na unachosema? ebu leta ushahidi basi.
   
 18. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #18
  May 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 25,919
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 63
  And bhoke in BBA is the product of this
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  May 17, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,844
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  wameshafunga majira eh???

  khe khe kheheheeee:mod:
   
 20. k

  kagamba kadogo JF-Expert Member

  #20
  May 17, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  majira ipi. Gazeti ama kipindi cha RTD
   
 21. tay

  tay Member

  #21
  May 2, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  editor mgeni au?
   
 22. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #22
  May 2, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 6,934
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 38
  mimi nadhani unapofungua site fulani kuna kitu wanaita cookies,hypelinks nk
  kama uko nchi fulani utakachoona ww ktk site hiyo mtu wa nchi nyingine hawezi kuona.
  msiwalaumu majira laumuni internet service provider.
  sometime hackers nk wanatumia mwanya huo kuweka links za namna hiyo.
   
 23. B

  Babu Original Senior Member

  #23
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu aliyekuwa akisubiri mti ukue ameshajinyonga?
   
 24. r

  rolla JF-Expert Member

  #24
  Nov 6, 2013
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 1,041
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 38
  kazi hipo
   
 25. mathabane

  mathabane JF-Expert Member

  #25
  Nov 7, 2013
  Joined: Jan 27, 2013
  Messages: 1,199
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 36
  Web imekuwa hacked.
   

Share This Page