Majini, Mapepo, Maruhani, Uchawi na Kitimoto/Nguruwe; ukweli ni upi?

Topic yako ina mapungufu meeengi sana. Japo sili kitimoto ila most of the areas umekurupuka. Hivi sio viwango vyako kaka, umeandika uongo uongo tuuu na ambao hawana elimu hii watatahayari. Sisemei kukusu kuliwa au kutokuliwa ila nasemea "umetumia uongo kutetea mada yako" wasomaji muwe makini msipotoke

Hebu twende tararibu na tujadili haya
-Ni uongo kuwa kwa kiasi kikubwa mapepo hayatoki baharini?
-Je ni uongo kuwa mazao ya kitimoto hayatumiki kama kinga ya mambo ya kishirikina?
-Je ni uongo kuwa Bwana Yesu hakuyaamuru mapepo yamtoke yule mtu na kuwaingia kundi la nguruwe?
-Je ni uongo kuwa nguruwe ana vimelea ambavyo ni vigumu sana kufa?
-Je ni uongo kuwa nguruwe anauawa kwa kupigwa magongo kichwani?
-Je ni uongo kuwa wenye mapepo wengi ni wanawake? Nk nk
Hebu naomba ainisha uongo wangu nami kwa roho nyeupe kabisa nitaomba radhi
 
Jamaa umajua kutunga mashaili vizuri kwa kupitia mashaili yako mazuri watu hawezi kuacha kura kitimoto unaweza ukute hata wewe mwenyewe. Ni mlaji mzuri wa kitimoto ila umeamua kuja kutuenjoy
Ivi unajua toka mfungue kitimoto kimeadimika sana hapa mjini inamaana walaji tumeonhezeka
 
Hujaijua kweli na utabaki mtumwa tuu. Kama unataka kuiona mbingu,rudi Nyumbani umpende jirani yako.
 
Hebu twende tararibu na tujadili haya
-Ni uongo kuwa kwa kiasi kikubwa mapepo hayatoki baharini?
-Je ni uongo kuwa mazao ya kitimoto hayatumiki kama kinga ya mambo ya kishirikina?
-Je ni uongo kuwa Bwana Yesu hakuyaamuru mapepo yamtoke yule mtu na kuwaingia kundi la nguruwe?
-Je ni uongo kuwa nguruwe ana vimelea ambavyo ni vigumu sana kufa?
-Je ni uongo kuwa nguruwe anauawa kwa kupigwa magongo kichwani?
-Je ni uongo kuwa wenye mapepo wengi ni wanawake? Nk nk
Hebu naomba ainisha uongo wangu nami kwa roho nyeupe kabisa nitaomba radhi
Mkuu kwa mlaji nguli wa kitimoto kama huyu hawezi kukuelewa..........
 
We jamaa mshana jipange na post zako maana sijaelewa ulichoandika
 
Last edited by a moderator:
Mkuu embu karudie kusoma bible tena aliyekutwa na mapepo alikuwa mwanamke kweli!!!!!au unataka kuhalarisha story yako ya majini kutopatikana kwa mwanaume???.Halafu embu tuwe tunareason mambo hivi nguruwe awe mchafu,na mapepo.wakati huo huo afukuze mapepo wachafu!!!!sjui kama kuna siku ntawaelewa waislam na people kama wewe.
Tatizo baadhi ya watu humu jf wanajifanya kujua kila kitu kumbe wasijue kwamba kuna wanaowazidi kwa vitu fulani.Kitu kingine kuna baadhi wanasoma Biblia kama wanasoma gazeti then wanatoka hapo wanajifanya kwamba wanajua Biblia.Matokeo yake inakuwa kama mtoa mada hapa mshanajr unaposema kwamba aliyetolewa pepo wachafu alikuwa mwanamke unashangaza watu wenye uelewa kuhusu hili.Hivyo basi kabla ya kuelezea kitu fulani hakikisha una uhakika nacho.Nakushauri urudi tena ukasome Biblia Takatifu kwa utulivu then rudi jamvini ukarekebishe makosa yako kwenye huu uzi wako.
 
Last edited by a moderator:
Ukijifungia kwenye box la hiki kisijadiliwe kwakuwa ni cha kitoto utakosa mengi, by the way ungeonyesha huo utoto kwenye hii mada
Kumbuka hizi ni mada za kiroho usiziangalie kwa jicho la siasa au mmu.
 
Hiyo ni Biblia ya kisabato ndo inasema yule mwenye pepo wachafu alikuwa mwanamke? Msiwe mnafanya rejea kwa vitu ambayo hamna uhakika nayo! Hoja ya kijinga sana hii, sikuja kama na wewe Mshana Jr huwa unafikiri pafupi kiasi hicho! That is too low!!!
 
Sasa nyama ya kiti moto ndio imejaa mapepo? Ha ha ha!
Kaka huoni kuwa mafunzo yako ya roho, nafsi na mwili kwa nyama safi kabisa ya kitmoto yanakinzana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom