Majini, Mapepo, Maruhani, Uchawi na Kitimoto/Nguruwe; ukweli ni upi?

Mkuu embu karudie kusoma bible tena aliyekutwa na mapepo alikuwa mwanamke kweli!!!!!au unataka kuhalarisha story yako ya majini kutopatikana kwa mwanaume???.

Halafu embu tuwe tunareason mambo hivi nguruwe awe mchafu,na mapepo.wakati huo huo afukuze mapepo wachafu!!!!sjui kama kuna siku ntawaelewa waislam na people kama wewe.
 
This is too low for you@mshana
Kwa hiyo kama Yesu aliwaamuru pepo waingie kwa nguruwe wale alio waona huku Israel(kama ni kweli lakn)..basi nguruwe wa dunia nzima waliingiwa na hayo unayoyaita mapepo.
Halafu unakoleza uongo eti kifo cha nguruwe ni marungu_are you seriuos..?!!!
Wewe jamaa inabidi kuangaliwa kwa umakini otherwise naomba niruhusu kukuita muongo na unaendeshwa na mihemko.
 
Ni kwakuwa kitimoto yenyewe ndio makazi makuu ya mashetani, sasa hivi vishetani vidogovidogo vikianza fujo zao vikaletewa lile phantom vinatoka nduki
Yale mashetani Bwana Yesu aliyoyaamuru yamtoke yule mwanamke na kuwaibia lile kundi la nguruwe na kukimbia baharini hawajawahi kutoka
Hilo kundi la nguruwe lilikua huko kwao I,e Israel ama dunia nzima. ?..
 
mimi cdhani kama kitimoto ana shida yoyote so longer as God created it na give it freedom to live there sasa imani ya wanampinga ni wao tu hakuna kitu haramu ndo mana kuna sehemu wanatumia hichi pengine hawali tunaona Mongolia societies wanatumia vitu kama nyoka au vyura but Africans we ain't use. ivo kula kinachofurahisha mwili na kukupa testa nzuri mdomoni mambo za hiki haramu kile kinafaaa ni blah blah so long as something doesn't affect eat it as much you can
 
Ukweli nikuwa baada ya kuingia kwa nguruwe .wale nguruwe walikwenda mton na wakafa.ngurue wa Leo hawana pepo
 
Hakika kama hujawahi kula kitimoto umekosa mengi duniani, na ukifa utaulizwa y hukuwahi kuonja mema ya dumiani
 
Hii post inaweza kuwakera wengi, hasa wale wapenzi wa kitu/kitimoto, aka safisha nyota aka mnyama lakini kwakuwa slogan ya JF inatuhamasisha kuongea kwa uwazi basi naomba tuvumiliane.

Nyama yake ni tamu hasa na kwa nchi kama china ndio inayoongoza kwa kuliwa, na sehemu nyingi duniani ndio nyama ghali zaidi pengine ukilinganisha na wanyama wa kundi lake.

Lakini nguruwe ni pepo au naweza kusema nguruwe wana mapepo na wameendelea kuzaliana katika hali hiyo kwa miaka elfu nyingi.

Ilikuwa hivi Bwana Yesu katika pitapita alikutana na mwanamke mwenye mapepo na Bwana Yesu akayaamuru yale mapepo yamtoke yule mwanamke, mapepo yakamjibu Bwana Yesu kuwa yakimtoka yatakosa kikao/makazi ndipo Bwana Yesu alipoona kundi la nguruwe wakichungwa, akayaamuru yamtoke yule mwanamke na kuwaingia wale nguruwe, ambapo baada ya kundi lile la nguruwe kuingiwa na mapepo lilikimbilia baharini na kupotelea huko.

Sasa tujadili

Dhana ya kwanza, Mapepo kwa kupitia nguruwe yalikimbilia baharini na kupotelea huko, lakini kimsingi hayakupotea bali yalibaki huko na ndio maana mpaka leo hii mapepo makazi yake ni baharini.

Bwana Yesu ndie aliyeyachagulia sehemu ya kwenda kukaa, kumbuka pepo kama pepo haliwezi kuishi bila mwili, hivyo yakachaguliwa mwili wa nguruwe na hii haijawahi kusitishwa.

Dhana ya pili
Kwanini mapepo yale yalikuwa mwilini mwa mwanamke na sio mwanaume?.

Pepo ni shetani na shetani kupitia nyoka ndie alimshawishi mwanamke mpaka akakubali kwenda kinyume na maagizo ya Mwenyezi Mungu pale Eden, kwahiyo kuanzia wakati huo shetani hupenyeza ushawishi wake kupitia mwanamke na ambaye hata hivyo ndio mhanga mkubwa wa mapepo.

Ni nadra sana kukuona mwanaume ana mapepo(hii ina maelezo yake).

Dhana ya tatu
Mazao ya nguruwe(nyama,kinyesi na mfupa) kutumika kama kinga ya majini nk.

Jini ni roho msafi sana anayechukia uchafu wakati pepo siku zote huambatana na vitu vibaya na vichafu, hivyo mtu mwenye maruhani mapepo wasafi, majini na uchawi akiletewa tu zao la nguruwe hakai anatimka, havichangani hata siku moja.

Ndio maana ukiona nyumba haieleweki au kuna vitu vya kishirikina kinaendelea hushauriwa kutumia mazao ya kitimoto.

Kumbuka

Kitimoto ana vimelea visivyokufa hata kwa joto Kali kabisa.

Paka hali nyama ya kitimoto.

Ndio mnyama mchafu zaidi duniani, na anayekula chochote, hachagui.

Kifo chake ni cha mateso hasa marungu mpaka anakata roho. Unajua ni kwanini?

Ni kwa sababu kitimoto ni pepo.[/QUO

Iman izoooo
Tena we jamaa ninawas was na akili yako mbona mawazo yako n ya kitoto sana
 
Topic yako ina mapungufu meeengi sana. Japo sili kitimoto ila most of the areas umekurupuka. Hivi sio viwango vyako kaka, umeandika uongo uongo tuuu na ambao hawana elimu hii watatahayari. Sisemei kukusu kuliwa au kutokuliwa ila nasemea "umetumia uongo kutetea mada yako" wasomaji muwe makini msipotoke
 
Acha uongo soma Marko 7:19 kwa sababu hakimwingii moyoni,ila tumboni tu,kisha chatoka kwenda chooni.?kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote"sasa wewe hayo mapepo yanatoka wapi.Kabla ujala unatakiwa ukiombee chakula chako na kukitakasa.Mapepo huwapata watu kupitia matendo yao machafu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom