Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na Chuo cha Usimamizi wa Maji 2012

History ndio imeangusha raia, na business mwaka huu ilikua balaa sana, ngoja tuone tunatupiwa wapi maana www.moe.go.tz kwa sasa haipatikani hewan...

wewe ndo umenena,kila saa najaribu kufungua hyo tovut na kuna sehemu pameandikwa,"selections"lkn ukiifungua haifunguki cjui kw nini?
 
Hatimaye selection ya matokeo ya wale waliofanya mitihani ya form four na kufaulu kwenda form five na vyuo yamatangazwa .
 
wadau mwenye contact za shule ya Oswald Mang'ombe naomba anipatie, ipo musoma vijijini.
 
daah up0 kila mahali? 2najua umepata oswald x0 wait upate 4m t0ka kwa0 c0ntact za nini? Kula mxuli d0g0


umekosea sana kuniita dogo, loh! anyway, sio kosa lako. natafuta contact za huko ili niweze kufanikishasafari ya dogo kama wewe,
 
Kwa sisi tunaotumia simu na tuko kijijini mbali kabisa na komputa zingine mnatusaidiaje ili tuangalie hayo majina manake simu zetu hazifungui PDF? Msaada please!
 
Back
Top Bottom