Majina ya Wana JF na hulka zao; unawazaje?

lara 1 kwani lazima Secretary ampe BOSS kidude? Usiniambie huwa yanafanyika hivyo basi watu wangu wa karibu nitawashauri wasiwe secretaries maana maBosss. . . . .
Filipo kuhusu hao (Madame B na lara 1 ) kuwa mcharuko mimi sijui ila maneno yao yaweza kuwa kweli
 
Last edited by a moderator:
Kipipi. Dada asiyejali lolote, mgomvi na maneno makali, asiyejali kitu, akiharibu ana mbio kama Usain Bolt.
 
Yaani in short, Virgin,hata Rutta anajua maana yake ndo nalala nae.

Virgin ya wapi... dadavua manake siku hizi zimeongezeka na ni rahisi pia kutoka kama wadada wa mbagala kutokana na tabu ya usafiri wanajikuta zimeshatoka.. wakati wanadandia kwenye viooo
 
Honey nawe, aaah! Sasa hapa si tuko kwenye utani wa ki chit chat? Usikasirike bhana mie ntakonda jamani.

Utani mwingine unakaribia ukweli ujue huyo filipo ameshaanza kujishaua ulivyo msifia vile, nitamchanachana na viwembe huyo
 
Virgin ya wapi... dadavua manake siku hizi zimeongezeka na ni rahisi pia kutoka kama wadada wa mbagala kutokana na tabu ya usafiri wanajikuta zimeshatoka.. wakati wanadandia kwenye viooo
Mtoto analalamika hajapewa uji mpaka sahizi lol. Chama nazo zimeliwa na dady njiani tehe tehe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom