Majina ya wana JD yananichekesha sana!

Kuna mwenye id ya 'dubu' ananikumbusha mwalimu wangu wa chekechea miaka ya '80, tulikuwa tukimuita hivo japo halikuwa jina lake na sijui ni kwa nini tulimuita hivo.

Makongo class of 2002 kuna jamaa alikua na a.k.a ya Dubu alipewa na ticha wa Number
 
Nilipokua mdogo nilikua nasukuma sana gozi la ng'ombe.Timu pinzani pale mtaani na skonga walikua wakiniogopa sana kutokana na uwezo wangu kisoka... Nilikua na uwezo wa kupiga chenga wachezaji wote wa timu pinzani kabla ya kufunga goli. Kwa kifupi idadi ndogo ya watu ambao niliweza kuwapiga chenga ilikua ni watu wanane....basi mtaani nikawa naitwa watu nane(watu8)
 
cacico, stands for very important people in my entire life!

Carol, Cindy na Collins wanao nini?

Kaunga is me, myself n l (my real adorable n useful name) l connect people, families n relationships.
 
Back
Top Bottom